mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,143
Umeona mwz mzee amesema warudi maeneo yao.Bado Dar es Salaam.
Ni upuuzi kujenga miundombinu kama ya mwendokasi na kuwaachia wamachinga wapange bidhaa zao Kariakoo. Sijui nani katuloga sisi.
Wakati mwingine wanapanga bidhaa kwenye njia ya waenda kwa miguu ambao hulazimika kupita sehemu ya kupita magari na kuondoa maana nzima ya mwendokasi.
Lazima tufike mahali tuondokane na upuuzi huu. Huu msemo kwamba waonyeshwe sehemu mbadala ni upuuzi mwingine. Hapo Barabarani au kwenye pavement kawaonyesha nani?