Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,265
- 13,571
Nimefurahi serikali kuweka kipaumbele kwa wakazi wa Arusha.Free Godless LemaUmefurahia wenzio kuisoma namba?
Nimefurahi serikali kuweka kipaumbele kwa wakazi wa Arusha.Free Godless LemaUmefurahia wenzio kuisoma namba?
saiz igoma tayari kumesafishwaKaka ni shida! Igoma naona bado hawajawafikia ila nasikia wanakuja hata huko!
Haaaahaaaa....njaa imezidiNdio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepotea
duh! sasa mbona viwanda bado au ndo surprise! ghafla tu watakuja kuambiwa haya wale machinga viwanda hivi wkt huo mbavu zinaonekana!yaaani hakuna mtu! na wale waliokuwa wamevuta vibaraza vimetolewa, yaani nimeshangaa kumbe Makoroboi ni pana! mjini hakuna mtu barabara zote za Makongoro, Kenyatta na Nyerere zote kweupeeee. Hii fatiki imefanyika kwa wilaya zote mbili Ilemela na Nyamagana.
Mkuu nilisikia kipind flan kuwa wafanyabiashara wadogo wanatakiwa wakae hapo stend ya tanganyika kumbe na hapo wametolewa aisee mbona ni watu wengi sana wamekosa ajiraMie mwenyewe leo nimepita Makoroboi nikashangaa kumbe kuna barabara kubwa kabisa ambayo gari inapita bila tatizo lolote, na pale Tanganyika peupeeeee, ukija hapa Nyakato National ile barabara ya kuingia Buswelu kwa mzee Kafiti kumbe na penyewe ni papana tu, wale akina mama wa matunda wametolewa! Buzuruga karibu na Mapokezi baa na kwenyewe peupeee! Ila tujiandae kwa yote maana hao vijana sijajua kama wataendelea na biashara zao huko walipopelekwa au ndio tutakabwa hata saa kumi jioni!
Hapana wengine bado ipo kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepotea
Sasa kule mboga mboga pamehusu nini jaman nawaza hapa nahis hata igoma pale pamevunjwa na kuna machinga wengi sana cjui wataishi vipWamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!
labda wanatakia wahamie soko jipya kule karibu na wilayaniSasa kule mboga mboga pamehusu nini jaman nawaza hapa nahis hata igoma pale pamevunjwa na kuna machinga wengi sana cjui wataishi vip
Pale walikwekwa kwa muda, wametolewa wote pale hakuna hata unyoya wa machinga mpaka kule kwenye soko lililoungua pale barabara ya pamba, mtaa wa vitunguu wote hakuna mtu hadi market streetMkuu nilisikia kipind flan kuwa wafanyabiashara wadogo wanatakiwa wakae hapo stend ya tanganyika kumbe na hapo wametolewa aisee mbona ni watu wengi sana wamekosa ajira
Wakafanye biashara sehemu husika ili na serikali iweze kukusanya mapatoAliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..
Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.
Namba inasomeka kwa watanzania wote!
Utanuzi bado wanajenga lile daraja la pale Ghana na pia wanaendelea kupanua kidogo kidogo hawajamalizaduh! sasa mbona viwanda bado au ndo surprise! ghafla tu watakuja kuambiwa haya wale machinga viwanda hivi wkt huo mbavu zinaonekana!
vipi na ule utanuzi wa barabara la airport umefikia wapi..?
Hapa hakuna siasa wala nini tuishi kwa kufuata sheria zilizowekwa
Yaani sasa hivi kidogo mwanza
Imeonekana siyo kama mwanzoni
Unakutana na foleni kumbe watu
Wamepanga bidhaa barabarani
Yaani kama mnadani shemu zote
Na mnaosema vibaka sisi tunawakaribisha tu
Tukikukamata polisi wanakuja
Kuchukua maiti
Vipi kale kasoko kama wakulima wamewatoa?saiz igoma tayari kumesafishwa
MWENZENU NAPENDA KUPENDWAmie ni mwanamke wee Tutor B, hahahahahahah
ahahahahhhahah Elli tehe tehe tehe tehe teheHii signature yako bhana
MWENZENU NAPENDA KUPENDWA
Weka picha basi!! Tupichapicha ndo tunanogesha habari!!Aliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..
Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.
Namba inasomeka kwa watanzania wote!
Kumbe! vipi na utanuzi wa airport umehairishwa ama unaendelea..?Utanuzi bado wanajenga lile daraja la pale Ghana na pia wanaendelea kupanua kidogo kidogo hawajamaliza