Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
ukimsikia lowasa unasikia tumbo la kuharaBado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
ukimsikia lowasa unasikia tumbo la kuharaBado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
Huyo ndo anayemtunza yule fisi pale Lumumba achana naeukimsikia lowasa unasikia tumbo la kuhara
Nimekupata mkuu, sikujua kama ana nafasi hiyo.Ni mjumbe wa kamati kuu na BARAZA KUU LA CHADEMA.
Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
We hauko Mwz bali Lumumba unakumbuka maroli yenu mnayosombea wale wazee ambao hawana hata jino mojaMwambieni aje na maloli ya watu, watu wa mwanza hatuna muda wa kufatilia hizo kanjanja
Mkuu hebu attach hivyo vitabu basi watu tuongeze maarifa.Aisee mimi niko mikoani,
Sema unaweza tafuta, vinaitwa.
The Secret Works of the Soviet Intelligence Agents.
New lies for old- Anatoliy Golitysn.
The deception of the Perostroika- Hiki kinaongelea mpango wa KGB na Andropov kuangusha USSR ili wamdanganye USA apeleke teknolojia yake kwao. Kimeandikwa na Soviet Defector Anatoliy Golitysn.
Ha ha mkuu halafu wanajifanya wanauchungu Na Seif, pembeni ya madaUnajua mwanadamu akizeeka hurudi kama mtoto mdogo? Damian kisha zeeka kwa sasa hana tofauti na mtoto mdogo na ndiye anae jua kuwa Lowasa alishinda.
Mtahangaika sana, ila sisi tunamuona rais wetu mwenye hadhi ya urais si wa mchangani kama huyo wa kwenuNimekupata mkuu, sikujua kama ana nafasi hiyo.
Mkuu tafadhari sana, mimi rais wangu ni Magufuri.Mtahangaika sana, ila sisi tunamuona rais wetu mwenye hadhi ya urais si wa mchangani kama huyo wa kwenu
Hivi kama Lowassa si tishio kisiasa, hebu jiulize ni kwa nini Majaliwa 'anamgwaya' hadi kumpiga stop kuhutubia mikutano ya hadhara ya kuwashukuru wananchi waliompigia kura?Watu wengine kwa kupenda kuandika upuuzi,unawezaje kudai eti mwanza itatingishika kwa ujio wa mwanasiasa mufilisi na aliyekosa muelekeo!!
Hivi kama Lowassa si tishio kisiasa, hebu jiulize ni kwa nini Majaliwa 'anamgwaya' hadi kumpiga stop kuhutubia mikutano ya hadhara ya kuwashukuru wananchi waliompigia kura?
Hivi kama Lowassa sio tishio niekeze ni nani aliyeleta chachu ya mabadiliko hadi majiji ya Arusha, Mbeya, Moshi, Tanga, Iringa na Dar yote hiyo kuwa chini ya Ukawa?
Hivi kama Lowassa sio tishio, ni nani aliyesababisha jiji kuu la Dar, kwa mara ya kwanza tokea nchi yetu irejee kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 liwe chini ya himaya ya Ukawa?
Akili kama hizi zinawafanya watu kutoka sehem atokeapo huyu fisadi waolewe huko ughaibuniUmenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
Hivi kwa sasa mnazungusha viuno au bado mnazungusha mikono kurudi nyumba?Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Sasa wasiwasi wako ni nini? Kama LOWASSA amekwisha? Si utulie? ya nini kumtajataja kila sekunde?Politically, Lowassa is finished!
Kwa sasa ameungana na Augustino Mrema katika safari ya kisiasa.
Hizi zingine ni porojo na usanii kama ilivyo fani yake!
MJIANDAE KUKUNJA VIUNO VYENU NA MAKALIO YAKIWA JUU, KUPIGA DEKI BARABARA, SAWA, SAWAAA!, SAWA, SAWAAA!ukimsikia lowasa unasikia tumbo la kuhara
Ingekuwa hivyo wewe ungeshaolewa kitambo sana! Maana huna breki wewe, wala hukujaaliwa kukataa jambo!Akili kama hizi zinawafanya watu kutoka sehem atokeapo huyu fisadi waolewe huko ughaibuni
Tumeamua sasa kuzungusha kiingereza kibovu alafu tunasifiwa kwa kujua kiswahili cha ...Hivi kwa sasa mnazungusha viuno au bado mnazungusha mikono kurudi nyumba?