Kuna tatizo?Kwanini unampenda sana Yuri Andropov?
Kuna tatizo?
Sasa why uniulize kwanini nampenda? Hitaji lako ni nini?? Jadili mada.Nani kasema kuna tatizo?
kitu ambacho sijawahi kujaaliwa ni kukaa chini nianze kumsfia na kujikomba kwa mwanaume mwenzangu, sijawhi kifikiria kuacha kaz zangu kwenda kumlaki au kumsikiliza kiongozi wa siasa awe rais au ndg yake na raisi.Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Sasa why uniulize kwanini nampenda? Hitaji lako ni nini?? Jadili mada.
Namchukia MKUUDuuh brother mbona umekuwa aggressive halafu mimi nimeuliza kwa vizuri tu?
Nimeuliza kwanini unampenda Yuri Andropov?
Its was just a simple matter mazee.
Namchukia MKUU
Kwa sasa: Mzee Mshauri; baadaye..........Naomba kuuliza, Lowassa ana cheo gani cha uongozi ndani ya Chadema?
Aisee navihitaji, ntakupataje uniazime?Basi bwana nina vitabu vya historia yake yote akiwa director wa KGB hadi anakuwa raisi.
Na mahusiano yake na Chernenko.
Ni mjumbe wa kamati kuu na BARAZA KUU LA CHADEMA.Hivi Edo ana wadhifa gani ndani ya chama?
Aisee navihitaji, ntakupataje uniazime?
kama ni mungu wa gwajima na wale maaskofu aliowahonga sawa hakuna anayekataaUmenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
Kweli ya Mungu haipotei, Lowasa ndiyo rais wa Tanzania anaetambulika na Mungukama ni mungu wa gwajima na wale maaskofu aliowahonga sawa hakuna anayekataa
kama ni mungu wa gwajima hakuna aliyekataaaKweli ya Mungu haipotei, Lowasa ndiyo rais wa Tanzania anaetambulika na Mungu
Unajua mwanadamu akizeeka hurudi kama mtoto mdogo? Damian kisha zeeka kwa sasa hana tofauti na mtoto mdogo na ndiye anae jua kuwa Lowasa alishinda.Kwa ushahidi upi? Na huyo mtoto mdogo yupi? Kichwa kina kazi zaidi ya kufugia nywele mkuu.