Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

MJIANDAE KUKUNJA VIUNO VYENU NA MAKALIO YAKIWA JUU, KUPIGA DEKI BARABARA, SAWA, SAWAAA!, SAWA, SAWAAA!
Inaonekana unapenda sana kukunjwa viuno, Kwanini unachezea kipaji chako? Si uende Mombasa ukajiajiri?
 
Inaonekana unapenda sana kukunjwa viuno, Kwanini unachezea kipaji chako? Si uende Mombasa ukajiajiri?
AAH AAH MUSSA ALLAN, MARA HII MMESAHAU FANI YENU YA UPIGAJI DEKI, KILA LOWASA AKITOKEA, AU MNA FANI MPYA MTAZINDUA HAPO JIJI LA MAWE? MTUPIGIE PICHA BASI NA KUTUTAARIFU FANI MPYAA!
 
mussa allan na ndugu zetu wote wa mama mdogo tunawatakia uchaguzi mwema.................
 
Maigizo ati weki mtakua mmewanywesha viloba vijana wadeki barabara.
 
Bora mi mjinga,nilipitiwa upepo wakati ule nikaiamini CHADEMA ila saivi nishaelimika na kugundua CHADEMA ni matapeli...Ila wewe ni mpu.mbavu..hujui chochote unazungusha kiuno tu
Lini uliwahi kuwa CHADEMA wewe kiroboto? Hebu weka kumbukumbu ?
 
We hauko Mwz bali Lumumba unakumbuka maroli yenu mnayosombea wale wazee ambao hawana hata jino moja
Naskia anakuja kuintroduce viroba vya ukawa mwanza baada ya kufakamiwa sana moshi, hela yake inarudi taratiiiiibu
 
Lini uliwahi kuwa CHADEMA wewe kiroboto? Hebu weka kumbukumbu ?
hapo ndo mnapokosea ndugu zetu nyie mnakaa mkidhani vitu vinaapply kwenu tu kwa wengine haviwezekani.....nyie mnahisi ni ccm tu wanaoweza kuhamia chadema lakini wachadema hawawezi kuhamia ccm.....
 
Nilitoka rasm December 2013 mbu.ni wewe kwenye sakata la Zitto
Kume ulikuwa mfuasi wa Zitto, Zitto alijiondoa CHADEMA kihalali kabisa. Wala hakuna kanuni ya chama iliyokiukwa! Kwahiyo wewe na huyo mwenzako ni vigeugeu tu!
 
Mbowe atamtangaza lowassa kama kiongozi mkuu wa Chadema?
 
Back
Top Bottom