Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
Ni mmiliki mkuu. Si unaona ameshapiga mkwara 2020 atagombea tena, na hakuna kiongozi aliyediriki kumkemea kuwa mchakato wa kidemokrasia utaamua mgombea.Hivi Edo ana wadhifa gani ndani ya chama?
Ni mmiliki mkuu. Si unaona ameshapiga mkwara 2020 atagombea tena, na hakuna kiongozi aliyediriki kumkemea kuwa mchakato wa kidemokrasia utaamua mgombea.Hivi Edo ana wadhifa gani ndani ya chama?
Ivi ukiambiwa Seif zanzbr alishnda utakataa? Hata mtoto mdogo anajua kuwa Lowasa alishinda uraisMwaka huu mtakufuru sana tu.
Kwa ushahidi upi? Na huyo mtoto mdogo yupi? Kichwa kina kazi zaidi ya kufugia nywele mkuu.Ivi ukiambiwa Seif zanzbr alishnda utakataa? Hata mtoto mdogo anajua kuwa Lowasa alishinda urais
Shika adabu yakoZenye maana ni zile za wa mchangani kushindwa kidhungu?
Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
Eti mwanasiasa maarufu baada ya Nyerere. Yani unamlinganisha Edo na Nyerere??? Hatari Kubwa!!!Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Bado kidogo watamlinganisha na Mungu.E
Eti mwanasiasa maarufu baada ya Nyerere. Yani unamlinganisha Edo na Nyerere??? Hatari Kubwa!!!
Baada ya kuikamata dar naona wanafocuss mwanza....
Waaaaaasukuma wagumu
E
Eti mwanasiasa maarufu baada ya Nyerere. Yani unamlinganisha Edo na Nyerere??? Hatari Kubwa!!!
C.C @madela wa madiluBado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?