Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.