Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Japo simkubali Lowassa, hii ngoma yake huwa naikubali sana
 
Nguri wa siasa za Tz, aliyependwa na watz zaidi ya 90%
 
bafca63ac4f737ba6ca9890c58cc23f0.jpg
Naona kumsalimia mfalme ni mpaka uiname hata kama unamzidi umri. Halafu eti Wamarekani wakamkoromea Obama alipoinamisha kichwa wakati akimsalimia mfalme wa Saudi Arabia na Hirohito wa Japan. Mh!
 
Watu wengine kwa kupenda kuandika upuuzi,unawezaje kudai eti mwanza itatingishika kwa ujio wa mwanasiasa mufilisi na aliyekosa muelekeo!!
mufilisi na waliokosa mwelekeo wako lumumba ambao awali wala awalali bila kumzungmzia lowassa
 
huku mwanza tunamuita mzee wa kusambaza upendo
 
Umenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
Mwaka huu mtakufuru sana tu.
 
Umenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
raisi wa majipu
 
Masela, vibaka, mateja wameanza kulalamika sana mikutano ya cdm mwanza hawapati kitu(hawaibi) kama ya ccm inapofanyika maana mikutano ya cdm wanafurika wao kwa hiyo wanashindwa kuibiana wao kwa wao
 
Back
Top Bottom