Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

hapo ndo mnapokosea ndugu zetu nyie mnakaa mkidhani vitu vinaapply kwenu tu kwa wengine haviwezekani.....nyie mnahisi ni ccm tu wanaoweza kuhamia chadema lakini wachadema hawawezi kuhamia ccm.....
Iko hivi,mfuasi wa Shetani anaweza kuachana na njia mbaya na kujiunga na ukweli.
 
Yani unamlinganisha huyu tapeli wa Monduli na Nyerere!! Huyu ni wa kumfananisha na kina Jakaya tu ndio wanafanana kila kitu.
 
mimi napata wasiwasi ndugu zetu hawa kuwafananisha hivi vichwa viwili, nyerere na lowassa...mkae mkijua rushwa ilivoanza ndani ya chama nyerere hakukimbia chama ili aweze kusema uozo wa chama chake,alisema maovu ya chama chake akiwa ndani ya chama sasa tunavyomfananisha na huyu jamaa mwingine napata wasiwasi sana...ina maana huyu ndugu yetu kipindi cha ukoloni angeungana na wakoloni ikiwa tu angeshindwa kuteuliwa na wanachama wenzie kuongoza mapinduzi,
 
Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Afu Mwanza ikishatingishika so what??
 
Ukisema jiji letu litatingishika unajidanganya mwenyewe,muwe mnaona uvumi tu wa machinga wa ktkt ya jiji Nyamagana pekee afu mnajifariji eti jiji zima litatingishika!
 
Mungu ibariki Chadema .
 
Ukisema jiji letu litatingishika unajidanganya mwenyewe,muwe mnaona uvumi tu wa machinga wa ktkt ya jiji Nyamagana pekee afu mnajifariji eti jiji zima litatingishika!
kesho urudi tena mkuu .
 
Ha ha ha Rock city itingishike kwa sababu ya Fisadi flesh????
Ehhh muumba msamehe Huyu bureee
Nchi yote, Bara lots, Dunia yote imeungana kuangalaia maajabubyatakayo tokea under Magufuli wee unaongelea Lowassa the Old Fisadi alive haribu CCM yenye nia Njema????
Endelea kuota
 
Wanywa viroba ndio mtatingishka, but Great Thinkers walishamsahau mamvi, TV wala magazet hayamjui, kesho mapema kwnye viroba jioni mkazungushe mikono ya mabadiliko....lowasaaa hahahahaaaa
 
Akili kama hizi zinawafanya watu kutoka sehem atokeapo huyu fisadi waolewe huko ughaibuni
Inaonekana umepata maumivu makali sana, ucjali utazoea, hii sindano moja inatosha, nyingne ntakuchoma baadaee
 
nasikia watu wanasafir kutoka mikoa ya jiran kwenda kukesha
 
Umenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
tuwe wakweli na waungwana wakuu;
ninahitaji sana mabadilko kupitia upinzani hasa chadema, sina imani na ccm hata chembe, pamoja na jpm ambazo ni nzuri saana lkn stil sina imani na ccm kwani najua hawapendi afanyavyo jpm hasa wenye ccm tukiachilia hawa wengine wenzangu na mie...
nirudi kwenye lengo hivi kweli kuna ulinganifu upi kati ya lowasa na nyerere?
hivi Nyerere alijipenda kiasi cha kujilimbia mali kama el? ni kweli nilimchagua El coz sikuwa na namna kwani ccm cna imani hata Yesu akigombea kupitia nitamwomba msamaha kua cwez kumpigia kura akiwa ccm.
tuache utani huu kumlinganisha El na Nyerere. tena tukiusa ukweli mweupe ni kuwa kuanzia mwinyi na mawaziri wake hadi jk pamoja na mawaziri wake pamoja El wanafaa kufungwa kwa kushindwa kuleta mabadiliko nchi hii
 
Na
Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
Nakuheshimu mkuu, hivi jee wewe umechoka.? Nadhani bado coz usinge ongea kitu kwenye uzi huu kama umechoka, natumaini bado unaelewa umuhimu wa mweshimiwa Edward katika taifa hili.!
 
Back
Top Bottom