Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Na yale mawe lazima yadondoke
 
hawa jamaa kweli vinyago mpapure habari zao zipo kwenye mitandao tu
 
Kwa ushahidi upi? Na huyo mtoto mdogo yupi? Kichwa kina kazi zaidi ya kufugia nywele mkuu.
Hv kwa akili zako za kujipendekeza unazani bila kuiba na kutumia dola na majeshi mngeshinda,.!!
Hv mkisimama nyie kama chama yaan man to man halafu kuwe na fair ground hv unafikiri mtaanze kushinda... maan dhulma na nguvu ya dola ndo imewaweka hapo mlipo.

Na kama mnajiamin mpo hapo kwa nguvu ya umma kwa nn mkatae walioshindwa kuwashukuru waliowapigia kura??
Ndomana nakuuliza wew una akili ya kuyatafakari haya au ndio kwa sabab upo kwenye list unajiongelea na kubwabwaja kama kenge...

Hv hujui Mamvi alishinda mapema kabsa ndomana mkakamata kitengo chake na vijana wake waliokuwa wanahakiki matokeo ya ukweli sio hayo yenu mliyochakachua!!

Hv kinachowafanya muhofie kuliachia jiji UKAWA ni nn kama sio kujistukia na ufisadi wenu hapa jijini??

Hv wew unatumia kichwa kufikiri au tumbo ili upate kitu...
 
Hahahahahah... uyu mzee katua mwanza leo mbona jiji halijatingishika, mtoa uzi uko timamu au ulionja kakonyagi kdogo.??
 
Sasa hivi sina hamasa naye kama zamani..siasa yangu nimeipeleka kwa maghufuri kumuombea kila siku..
 
mtu kupendwa hakuangalii cheo hayo ni mambo ya ccm
Mie nilidhani mtu anahudhuria vikao kwa sababu ni kiongozi stahili au mjumbe aliyeainishwa kwenye katiba.

Kumbe chadema mtu akipendwa anatia timu na akichukiwa anatupwa kule kijeuri.

Ni muhimu kufuata katiba na kanuni badala ya kupendwa na kuchukiwa kwani uongozi wa siasa sio ndoa hadi utangulize mapenzi.

Msipofanya hivo malalamiko ya kupendeleana na kubebana hayataisha na kwa hivi mnajitahidi kuwazidi ccm kwenye mambo ya kipuuzi kama kupendwa na kupendeleana.

Na huyo Lowassa ajiangalie, ukipendelewa bila kufata katiba ujiandae pia kutemwa bila kufuata katiba.

Sijui napoteza muda wangu wa nini wakati ishasemwa wazi, chadema hapendwi mtu, yanapendwa maslahi ha ha ha.
 
Mzee Mwanakijiji said:
Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
Mtoa mada kakosea kuandika kichwa cha uzi labda ana maana barabara za Mwanza zitasafisha na kudekiwa kwa mara nyingine
 
Huku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Kumbe baada ya Nyerere Ni laigwanani
 
Back
Top Bottom