Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Maybe wewe unasema kulingana na watu wanao kuzunguuka, walio kulea, ulio kua nao, na marafiki zako wa leo. Ila ukweli ni kwamba sio majority ya wanawake duniani.
Kuna mtu anaishi in a world ambapo unacho sema hapo is shocking. Najua it is true, it happens, but sikujua mtu anaweza kubrag about having such thinking! To me the difference between a person who thinks like this and a prostitute in the street lies in the price, and the contract period. no offence, tunajadili tu kulingana na tunacho kiamini.

Hahaaaaaaaaaa! Very ironic! Offence taken none! Mi haiingii akilini kamweeee if you have to choose kati ya A hardworking dude, anaesababisha, halali, anausaka mkwanja usiku na mchana, to give you the life you deserve, make your dreams come true, sky is the limit kwake! A real Man! na mtu kakosa upeo wa mawazo, karidhika na kutokuwa nacho, ambae anaamini atapata kesho, na kesho yake haifiki, he cant make shit happen, yupo ilimradi yupo! Uache kumchagua yule wa ukwee wa kusababisha umchague mchovu!!!!!!!!!!! Hata nikitoka usingizini siwezi fanya hio blander!!!!!

Mwanaume unapokuana nae ndio asili yake, kujiaminisha atabadilika ni kujidanganya! I dont believe in somebody changing for you!

Wanawake hao unaowasemea nikikuatana nao wakikaa na mimi kidogo wanaona mwanga na kujua makosa yao fastaaa! Wengi unakuta wameishi kujiahangaikia weee hadi wanaona kawaida! Ukiwaonesha njia ya kuhangaikiwa ndo wanajua how abused they were !!!!!!
 
HUU MJADALA NAUFUNGA RASMI!!!!!!!!!! ALIEJIFUNZA NA AJIFUNZE, ALIEGOMA NA AGOME!!!!!! JST REMEMBER "In this life you get few chances and if you dont grab those chances by the balls tightly you will end up woundering how you became second rated in life" IT IS WHAT IT IS!!!!!!

Kama kuna la kusema yote yamesemwaaa! Sizani kama kuna lililobakia, hamieni kwenye mada za kujenga watu wanahitaji mawazo yenu!!!!!!!!
 
Mi pesa sinaaa ila nakula maisha kama kawaaaaaa! Ndo maana nimeleta huu mswada hapa ili kuleta changes! I got some skills! Mi sipendi stress za kukopana kopana! A guy has to take care of me!

Ndo manaake,ambae hana hela wa nn,kupeana mawazo tu!ukiomba hela,sina/subiri mwisho wa mwezi/vumilia.....akuuuuu nan anataka
 
Maybe wewe unasema kulingana na watu wanao kuzunguuka, walio kulea, ulio kua nao, na marafiki zako wa leo. Ila ukweli ni kwamba sio majority ya wanawake duniani.
Kuna mtu anaishi in a world ambapo unacho sema hapo is shocking. Najua it is true, it happens, but sikujua mtu anaweza kubrag about having such thinking! To me the difference between a person who thinks like this and a prostitute in the street lies in the price, and the contract period. no offence, tunajadili tu kulingana na tunacho kiamini.

aksante Bi. Mwali
 
.... Mama yangu kambembeleza dada yetu, hadi kijana mmoja akamuoa, he is rich, educated na ana heshima, ila sister she was soo beautiful, ila alikuwa hampendi saana jamaa, baada ya muda na kupata mtoto wa kwanza na wa pili, AKAMWBIA MAMA YAANI JOSEPH IS BEST EVER HUSBAND ANA PESA SANA NA SIPATI SHIDA HATA KIDOGO, PIA MWAMINIFU, yaani nipo kama mlivyonileaa, MAMA NASHUKURU SAANA, UTOTO BANA ULIKUWA UNANISUMBUA....!!!

Pesa kama haipo NDOA ZA DIGITAL AGE HAKUNA....

Ukweli ndio huuooo....!!!
 
Ndio maana sikuhizi mapenzi hakuna. Pesa inanunua mwanamke yoyote kasoro yule anaejitambua.

Njaa ndio zinawafanya mseme hivyo na ukweli hao wenye pesa mnaowataka huwa hamuapendi sema tu pesa inawafunika kwa kuwa na material things na kujipa moyo eti ningukuwa na yule nisingeendesha gari.

Wewee umeshafika nyumbani dili imekataa na ukakuta chakula mezani mamaa kaweka tayari chakula na maji ya moto ya kuoga pamoja na pole.
Hujui kwanini watu wa kawaida wanaenjoy maisha ya raha hata kuliko matajiri...kwa sababu watu wanapendana kwa thati.
🙄

Sent from my GT-I9300
 
Wanawake hao unaowasemea nikikuatana nao wakikaa na mimi kidogo wanaona mwanga na kujua makosa yao fastaaa! Wengi unakuta wameishi kujiahangaikia weee hadi wanaona kawaida! Ukiwaonesha njia ya kuhangaikiwa ndo wanajua how abused they were !!!!!!
Abused sababu wanajitegemea na hawahitaji mwanaume kuwaongezea confidence?
 
EMT unajua nini? 'Let's look for money and make life easier'...get rich or die tryin'..na mimi bado naomba watoto wazuri wakaze tu ili masela tuingie chimbo zaidi na zaidi..nashangaa watoto wa kiume wanataka kuvua pichu kwa ubwerere..lol!
I stand to believe that those who think money cant buy happiness probably they shop in wrong malls!...
SnowBall, pamoja na kwamba lara 1 amefunga mjadala, let me break it down a little bit. Ni miaka ya hivi karibuni tuu tumekuja kutambua kuwa mahusiano ya mwanaume na mwanamke huwa yanaongozwa pia na "sexual politics". Hizi sexual politics huwa zina-exist nje ya mahitaji na choices za mwanaume na mwanamke.

Hata hivyo, kuna sexual politics kati ya mwanaume na mwanamke pia. Tofauti ni kwamba mahusiano kati ya mwanaume na mwanaume huwa yanaongozwa na rules ambazo ni vigumu kuonekana kama ilivyo kwa rules za mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Pia jamii isingeweza kuwa na power dynamics zilizopo hivi sasa kati ya wanaume na wanawake kama kusingekuwa na power dynamics kati ya wanaume na wanaume.

Kimsingi, men don't just happily bond together to oppress women. Lakini wanaume huwa tunaji-rank wenyewe kwa wenyewe na huwa tunashindana wenyewe kwa wenyewe kulingana na our masculinity. Tuna-compete wenyewe kwa wenyewe kwa kutumia resources tulizonazo for the differential payoffs that patriarchy allows us as men.

Wanaume katika jamii mbalimbali wana sababu tofauti wanazozitumia kuji-rank wenyewe kwa wenyewe. Baadhi ya jamii huwa zinatumia simple facts kama umri na physical strength and power kuwagawa wanaume. Refer to the theory of social stratification.

Lakini kwa miaka ya hivi karibuni jamii nyingi huwa zinawagawa wanaume according to their physical strength and athletic ability kwenye miaka ya mwanzo, lakini kwa maisha ya baadae ya wanaume hawa jamii ina-focus zaidi kwenye success with women na uwezo wa kutengeneza pesa. Mfano mzuri ni rappers wa Kimarekani ambao wame-influence sana hii practice.

Sasa unapo-link hii power struggle between men na men's power over women, unakuta kwamba power struggle iliyopo baina ya wanaume inafanya wanaume wawatumie wanawake kama symbols of success dhidi ya wanaume wengine, kama mediators, kama refugees na sometimes kama underclass. Kama unahitaji more explanation ya hizi roles let me know.

Kwenye roles zote hizi wanawake wanakuwa dominated na wanaume kutokana na direct struggle between men themselves. Kwa hiyo, ili mwanaume aweze ku-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanawake, inambidi kwanza a-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanaume wengine.

Ndiyo maana kwenye hii thread akina dada kama Natalia, Ciello, wispa Mrembo by Nature, Preta na wengine wamekuwa akiwaambia akina kaka kama SAUDARI, Father of All, mzabzab, Bulldog, Matola, Eiyer, mafinyofinyo na wengine kuwa wakiweka financial statements zao mezani, they can be "squeezed in kimtindo". It is the only man who can beat the others financially will be squeezed in.

This simply means that kama financial statement ya SAUDARI imekaa vizuri ataweza kumtumia Ciello kama symbol of success dhidi Bulldog, kama mediator, kama mkimbizi and possibly kama underclass.

I respect mawazo ya wengine kama akina BADILI TABIA, Zion Daughter, Mwali, nk, lakini naamini kwamba "women emancipation" will never succeed, unless there is an end of the sexual politics between men themselves. How will this sexual politics end then?

Only when women stop being used by men as symbols of success against other men, as mediators, as refugees and as underclass. In the meantime, the only way forward for men seems to me to get rich or die trying.
 
Wanawake wasio na pesa ni wakukimbiwa.
Yaani sometimes I wonder wanaume wenye wanawake wasio na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.
Poor women is not attractive, dead beat women need to stop dating.

hahaha
 
That formula only applies when you got no money of your own. Making money makes the adrenalin rush, and its a good exciting feeling i guess.
 
wewee bado hujajua pesa kabisa kabisaa...

Hata Yesu aliteswa na kusalitiwa na fedha...!!

Nguvu ya fedha, bado kwako kitendawili...

Hakuna mwanamke eti anajitambua au aringe ringe kwa mwanaume mwenye hali nzuri ya fedha, tena anataka kumuoa.... acha mchezo wewe....

MSICHANA ATAKOSANA HADI NA WAZAZI WAKE IKIWA LABDA DEMU KAMPENDA ASIYE NA FEDHA NA WAZAZI WAMPENDE MWENYE FEDHA.....or vice versa....

JIULIZE ACHIA MBALI KUOANA, WHY DAILY PEOPLE STRUGGLE...??

Jibu ni Pesa....!!!

Ndio maana sikuhizi mapenzi hakuna. Pesa inanunua mwanamke yoyote kasoro yule anaejitambua.

Njaa ndio zinawafanya mseme hivyo na ukweli hao wenye pesa mnaowataka huwa hamuapendi sema tu pesa inawafunika kwa kuwa na material things na kujipa moyo eti ningukuwa na yule nisingeendesha gari.

Wewee umeshafika nyumbani dili imekataa na ukakuta chakula mezani mamaa kaweka tayari chakula na maji ya moto ya kuoga pamoja na pole.
Hujui kwanini watu wa kawaida wanaenjoy maisha ya raha hata kuliko matajiri...kwa sababu watu wanapendana kwa thati.
🙄

Sent from my GT-I9300
 
Hahahah mkuu EMT asante kwa kudadavua hii ishu vyema kwan wengine tulianza kuonekana ka gold diggers kumbe ni ishu ya power struggle btn men....ujumbe umefika kwa wanaopretend ilhal wanasapot kimyakimya
SnowBall, pamoja na kwamba lara 1 amefunga mjadala, let me break it down a little bit. Ni miaka ya hivi karibuni tuu tumekuja kutambua kuwa mahusiano ya mwanaume na mwanamke huwa yanaongozwa pia na “sexual politics”. Hizi sexual politics huwa zina-exist nje ya mahitaji na choices za mwanaume na mwanamke.

Hata hivyo, kuna sexual politics kati ya mwanaume na mwanamke pia. Tofauti ni kwamba mahusiano kati ya mwanaume na mwanaume huwa yanaongozwa na rules ambazo ni vigumu kuonekana kama ilivyo kwa rules za mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Pia jamii isingeweza kuwa na power dynamics zilizopo hivi sasa kati ya wanaume na wanawake kama kusingekuwa na power dynamics kati ya wanaume na wanaume.

Kimsingi, men don’t just happily bond together to oppress women. Lakini wanaume huwa tunaji-rank wenyewe kwa wenyewe na huwa tunashindana wenyewe kwa wenyewe kulingana na our masculinity. Tuna-compete wenyewe kwa wenyewe kwa kutumia resources tulizonazo for the differential payoffs that patriarchy allows us as men.

Wanaume katika jamii mbalimbali wana sababu tofauti wanazozitumia kuji-rank wenyewe kwa wenyewe. Baadhi ya jamii huwa zinatumia simple facts kama umri na physical strength and power kuwagawa wanaume. Refer to the theory of social stratification.

Lakini kwa miaka ya hivi karibuni jamii nyingi huwa zinawagawa wanaume according to their physical strength and athletic ability kwenye miaka ya mwanzo, lakini kwa maisha ya baadae ya wanaume hawa jamii ina-focus zaidi kwenye success with women na uwezo wa kutengeneza pesa. Mfano mzuri ni rappers wa Kimarekani ambao wame-influence sana hii practice.

Sasa unapo-link hii power struggle between men na men’s power over women, unakuta kwamba power struggle iliyopo baina ya wanaume inafanya wanaume wawatumie wanawake kama symbols of success dhidi ya wanaume wengine, kama mediators, kama refugees na sometimes kama underclass. Kama unahitaji more explanation ya hizi roles let me know.

Kwenye roles zote hizi wanawake wanakuwa dominated na wanaume kutokana na direct struggle between men themselves. Kwa hiyo, ili mwanaume aweze ku-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanawake, inambidi kwanza a-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanaume wengine.

Ndiyo maana kwenye hii thread akina dada kama Natalia, Ciello, wispa Mrembo by Nature, Preta na wengine wamekuwa akiwaambia akina kaka kama SAUDARI, Father of All, mzabzab, Bulldog, Matola, Eiyer, mafinyofinyo na wengine kuwa wakiweka financial statements zao mezani, they can be “squeezed in kimtindo”. It is the only man who can beat the others financially will be squeezed in.

This simply means that kama financial statement ya SAUDARI imekaa vizuri ataweza kumtumia Ciello kama symbol of success dhidi Bulldog, kama mediator, kama mkimbizi and possibly kama underclass.

I respect mawazo ya wengine kama akina BADILI TABIA, Zion Daughter, Mwali, nk, lakini naamini kwamba “women emancipation” will never succeed, unless there is an end of the sexual politics between men themselves. How will this sexual politics end then?

Only when women stop being used by men as symbols of success against other men, as mediators, as refugees and as underclass. In the meantime, the only way forward for men seems to me to be get rich or die trying.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
ndo maana mi nakubaliana sana na ali kibaka, ukinipenda tunamalizana leo leo tu...nakuactia as if am multimillionaire ili uniachie papuchi tu.........kumbe mnazipenda dough tulizozitolea blood, tears & sweat huh? well truth be told hazitoki ivi ivi
 
Hivi pesa hizo mnazozozungumzia ni wealth ya kuanzia tsh ngapi annually?
Maana kwa lara anaweza kuwa anapesa ila kwa ciello kwa kiwango ambacho lara kachanganyikiwa nacho ciello anaona jamaa ji kapuku tu
 
hivi pesa hizo mnazozozungumzia ni wealth ya kuanzia tsh ngapi annually?
Maana kwa lara anaweza kuwa anapesa ila kwa ciello kwa kiwango ambacho lara kachanganyikiwa nacho ciello anaona jamaa ji kapuku tu
hapo sasa ila mi navoamini kwa sasa mapenzi na pesa ni vitu viwili tofauti,kama mtu unampenda kiukweli hata kama hana hela hutoumia ,sema tu miwanaume ya bongo haibebeki ndo maana inakuwa ngumu mwanamke kuvumilia
 
Unajua the sad thing ni nini?
Siku akizipata anaona wewe sio sawa yake, anaenda kwa kina lara 1 coz anaona sasa anaweza waafford! LOL

Ila in as much as hakuna mtu anayependa shida; lkn bora upendo uwepo kwanza coz hata akifirisika na watoto mmezaa huo upendo ndicho kitakachofanya siku zenu ziwe bearable. Lkn ukijilazimisha kwa mtu kwa kile alichonacho, siku kikiondoka hutakuwa na sababu au nguvu ya kuendelea kuwa naye.

BTW l have the feeling that lara 1 is not living what she is typing; deep down she is a sweet caring n giving gal ambaye anaweza kumsupport mchaga wake pale anapokwama.

Na guys, maisha ya sasa hivi ni struggle ya nguvu; mnaleta watoto duniani; muhakikishe wana maisha mazuri na bila pesa ni next to impossible. Huo ndio ukweli mchungu! Eiyer, kabla hatujapata mtoto nataka kuona a/c yake ina 7 zeros kwanza; sawa sawa?
 
unaweza kusema ngoja nianze na huyu a/c yake hata kama nina zero moja weee zikifika mbili tu huyo keshakukimbia? so watu wanaona ni bora ajilipue hata ale maisha kidogo.
ila Kaunga kuishi na mtu kisa ana hela ni ngumu kwa kweli maana utafake hadi nanihiii! lakini wanaume wajitahidi kutulea lea mwanaume kulialia shida si issue kwa kweli wanawake wavumilivu wachache.. kuna mwanaume mwingine hata yeye mwenyewe hajiwezi full kupiga mizinga kwa wanawake zao ..just imagine na sikukuu hizi mwanaume anakuomba nauli na hela ya kupelekea wazazi wake kijijini.wakati hapo mashosti zako wanapelekwa vacation zanzibar ? nani ana moyo huo?
 
Last edited by a moderator:
ndo maana mi nakubaliana sana na ali kibaka, ukinipenda tunamalizana leo leo tu...nakuactia as if am multimillionaire ili uniachie papuchi tu.........kumbe mnazipenda dough tulizozitolea blood, tears & sweat huh? well truth be told hazitoki ivi ivi
Akili matope ndio hizi, watu na akili zetu unatuletea reference kutoka kwa Ally Kiba?
 
Back
Top Bottom