Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Damn,I always read btn the lines of the posts of this woman........I never get bored,above all she always manges to get on most Jamii forums men's nerves!........lolest

Hivi kwanini ati? Mawazo yangu nayatoa in good intentions ila hali ya hewa lazima ichafuke!!!!!! Kitu hikohiko akikisema mwingine si kosa ila kikitoka kwangu ni Mudder of first Degree!
 
Hahaaa.....u just speak your mind at the same time hitting were it reallly hurts......above all with a twist beahind it.....for a alpha male,it is a fair ground for challenges, and does worth it all!
 
The world belong to the wise and daring ones.........guys get your games together!
 
Lara1 You sound like a typical Chaga from Marangu, who can do anything for cash, my dear. keep up there is a big reward for that. Do women want men for their pockect? We cannot all be millionaires to keep women, let's not be carried away by the high life of the west. Money itself cannot make anyone happy and next time do what you do and dont brag about it. Its filthy money!
 
Hahahaaaaaaaa! Ulijuaje mimi nina uchagga ndani yangu? Ila sio wa Marangu!

Mimi nilichosema ni ukweli mtupu kuwa mdada yoyote kuwa demu wa mwanaume mwenye pesa ni raha zaidi ya kuwa dem wa mchovu!

Kama hujabahatika kumpata mwenye hela its okay, kama hela sio ishu kwako its okay ila majority rules minority rights!!!!

Kama wewe wa kiume nakushauri kutafuta Mkwanja kwa nguvu zoooote! Mjini Silaha Pesa, Panga mzigo!!!!!!!! Mwanaume asie na hela ni kama Joka la kibisa tu haling'ati! Times are changing! Things are falling apart, jizoeze tu kuwa Capitalism ndo Mpango mzima!

Demu wako kama unapanda nae dala, hasemi kitu sio kuwa haumii roho kuwaona wenzie kweny Rav 4, la hasha anakuvumilia tu! If u dnt get ya shit together n make staff happen atakuchoka na kutafuta mwenye Vitara!!!!!

Men HUSTLE!!!!!!!!!!!!!! We kama huna pesa KAZAAAAAA! Usidanganyike wadada wazuri wanapenda makapuku! Thubutuuuu!
 
Lara1, There are many women who have done it since time immemorial! That it is not even an issue. There are many who are raising children by themselves without the support of any man.

The problem is that most men chose women who from day one make it plain that the attraction is the money or power. If you lose the wealth or power then what attracted her to you is gone and she will go looking for another to fit her needs.

Please don't categorise all women to fit into your shoes. There are many women who apart from staying have actually helped to make the man. Sometimes this same man has later left her to get a more "sophisticated" woman. Read between the lines before you judge anything...
 
Hahahaaaaaa! Watu wanamezehsa wenzao sumu tu hapa! Mjini hapa bila kuhonga pesa ya maana utampata demu gani wa maana? Demu gani anaependa dhiki na yeye? Ukiona yupo wa hivo ana mijibaba yake pembeni inamlea kwako kafata gemu!

Mwanaume wa ukweli lazima umhudumie mamushka wako! Otherwise japo hakwambii ila jua tu akipata anaemuhudumia anahamia Airtel faster!!!!!!!!!!

Ndo kuja huku nilitaka kumuoa,nilitaka kumuoa! Hujamuoa ushamzeesha asikukimbie kwa lipi?

hapo kwenye blue karibu kwenye chama ,that is what am talking about....kama pesa ni tamu kuliko kila kitu ni nini kinakusibu kufuata gemu tena na mpango mzima wa kukusuza roho upo?.....Game ndiyo first priority mengine mbwembwe tu na utashi ,chezea game ya uhakika wewe.
 
wakubwa zangu shikamooni!

Peopleeeeeeees!

Kama kawa kama dawa nimeletakwenu mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!

1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni demu wa flani kuna raha yake wajameni!

2.self esteem na comfidence level approaching 1000% dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of needs self satisfaction iko juu mbayaaa!

3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every saint has a past na every sinner has a future!!! Inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!

4.tittle! Unatoka kuwa little miss no body hadi demu wa flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice kubwa lao ukikatiza!

5.gifts na shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!

6.networking na exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni madam chau!

7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama iddi amini dadar watamsifu handsome tena baby face!

8.pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!

9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!

10.dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!

Wewe wapenda nini?

marahaba.

Utenzi mzuri. Maneno matamu. Umejitahidi kupangilia vian vizuri. But ukweli wake ni mdogo. Uhalisia wake si halisi.
 
Lara1, There are many women who have done it since time immemorial! That it is not even an issue. There are many who are raising children by themselves without the support of any man.

The problem is that most men chose women who from day one make it plain that the attraction is the money or power. If you lose the wealth or power then what attracted her to you is gone and she will go looking for another to fit her needs.

Please don't categorise all women to fit into your shoes. There are many women who apart from staying have actually helped to make the man. Sometimes this same man has later left her to get a more "sophisticated" woman. Read between the lines before you judge anything...

Hao unaowasemea wachache! As i said Majority Rules! Minority Rights!
 
marahaba.

Utenzi mzuri. Maneno matamu. Umejitahidi kupangilia vian vizuri. But ukweli wake ni mdogo. Uhalisia wake si halisi.

Ukweli ndo huo japo unaumaa sanaaaaa! Hata kwenye harusi siku hizi, Shangingi staafu lililolewa na baba lenye mifwedhaa ndo mwenyekiti wa kamati na mama mlezi wa bibi harusi! Ila Mama mchungaji hasogei karibu na bibi harusi yake sala ya ufunguzi! Pesa ndo kila kitu! Utu umeuzwa siku nyingi!

Na mwenye pesa anapata mademu atakavyo, mlalahoi has to work a bit HARDER kupata demu wa ukwee!
 
hapo kwenye blue karibu kwenye chama ,that is what am talking about....kama pesa ni tamu kuliko kila kitu ni nini kinakusibu kufuata gemu tena na mpango mzima wa kukusuza roho upo?.....Game ndiyo first priority mengine mbwembwe tu na utashi ,chezea game ya uhakika wewe.

Sasa hapo we **** tu! Ukimzingua unatemwa fastaaa! Ila B.O.T Lender of last resort hatemwi! Sharing is not among my virtues!!!!!!
 
Huyu mtoa mada mbona anamawazo membamba sanaa!

Hivi kutoka na tajiri au kuolewa na tajiri ndio mwisho wa matatizo yote?
Hivi Furaha na amani ya ndoa ni pesa pekeyake?
Hivi hakuna wanawake wanaoweza kuwa matajiri kama wanaume?
Fikra za ulemavu wa utegemezi kwa m'ume hauna ukombozi?

Hiyo mada itakuwa na maana sana kama mwke ni masiriamali wa kimapenzi.

Princess Diana alikosa kitu gani?
 
Weweeeeee! Mi nainvest mwenyewe sanaa! Tena pesa ya hongo inaniongezea mataji kichiziii! Alafu hela zangu zinakaa bank tu, coz expenses zote na bill kwa wadau! Hapo mtu nikiangali account inasoma!!!!!!! Isitoshe hela yako kununua miwigi, viatu in 3 colours, miguo, inaumaaaaaaaaaaa! Ila ukinunuliwa swadaktaaaaaaa kabisa!

Asikwambie mtu pesa ya kuhongwa tamu sanaaaaaa! Haina mawazo kuitumia!

Isitoshe zina expenses za kumsaidia mwanaume, au kumweka mjini kidume kizimaaaaaaaa!

Sio kwamba nachofanya sikielewi, nimeamua tukuwa chunaji!

Kwa hiyo hiyo kitu yako ni biashara fulani hivi. Unalipisha mlangoni kabla ya kuingia au unakusanya malipo mtu akishaingia ndani?
Ni kama taxi ambayo haijasajiliwa vile a.k.a taxi bubu, huh?
 
Wakubwa zangu shikamooni!

Peopleeeeeeees!

Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!

1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!

2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!

3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!

4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!

5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!

6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!

7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!

8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!

9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!

10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!

Wewe wapenda nini?

always demu anaependa pesa kwao njaa
 
always demu anaependa pesa kwao njaa

Hahahaaaaaaaaaa! Madem kwao njaa hawana gharama coz starehe hawazijui! Usilolijua haliwez kukusumbua!!!!! Kama kwenu mwavaa vitenge huwez kudai vya botique!!!! uwongo? Kama kwenu mwanywa soda huwezi dai za shots!!!!

It si what it is!
 
Kwa hiyo hiyo kitu yako ni biashara fulani hivi. Unalipisha mlangoni kabla ya kuingia au unakusanya malipo mtu akishaingia ndani?
Ni kama taxi ambayo haijasajiliwa vile a.k.a taxi bubu, huh?

Sio biashara ila nataka a man who can afford me! If i want something to happen, he makes it happen!!!!!!!! Sina haja kupasua kichwaaa!

I can understand hela itachelewa bt hela haitopatikana kabisaaa, that i dont understand!
 
Wakubwa zangu shikamooni!

Peopleeeeeeees!

Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!

1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!

2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!

3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!

4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!

5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!

6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!

7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!

8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!

9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!

10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!

Wewe wapenda nini?
Du!
Sikuelewa kwa nini madame wananifukuzia, jamaa machekibobu:bange::bange: wananichunia pamoja na sura yangu ya ngedere!:der::A S 12:
 
Hao unaowasemea wachache! As i said Majority Rules! Minority Rights!
Maybe wewe unasema kulingana na watu wanao kuzunguuka, walio kulea, ulio kua nao, na marafiki zako wa leo. Ila ukweli ni kwamba sio majority ya wanawake duniani.
Kuna mtu anaishi in a world ambapo unacho sema hapo is shocking. Najua it is true, it happens, but sikujua mtu anaweza kubrag about having such thinking! To me the difference between a person who thinks like this and a prostitute in the street lies in the price, and the contract period. no offence, tunajadili tu kulingana na tunacho kiamini.
 
Back
Top Bottom