Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,153
- 137,160
hahaha! Na mi utanifundisha nin?
Ntakufundisha 'kijogoro chawika'
hahaha! Na mi utanifundisha nin?
Ntakufundisha 'kijogoro chawika'
lawyer utanifanyia bure au na hela? Lol
Hakuna mwanasheria anayetoa huduma bure, let alone kukopesha.
Labda no win no fee, otherwise lazima unilipe.
Don't wanna be another victim bana. lol.
mmmmh! Hiyo nayo hesabu? Nifundishe kufuga vitwita.... Oops! Vitwitwi..
jamani, hata kama no free lunch mi si nadoea kidogo tu simalizi chote! Lol!
Haya lawyer wangu, ngoja nijipange..
Wakubwa zangu shikamooni!
Peopleeeeeeees!
Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!
1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!
2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!
3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!
4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!
5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!
6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!
7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!
8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!
9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!
10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!
Wewe wapenda nini?
SnowBall, pamoja na kwamba lara 1 amefunga mjadala, let me break it down a little bit. Ni miaka ya hivi karibuni tuu tumekuja kutambua kuwa mahusiano ya mwanaume na mwanamke huwa yanaongozwa pia na sexual politics. Hizi sexual politics huwa zina-exist nje ya mahitaji na choices za mwanaume na mwanamke.
Hata hivyo, kuna sexual politics kati ya mwanaume na mwanamke pia. Tofauti ni kwamba mahusiano kati ya mwanaume na mwanaume huwa yanaongozwa na rules ambazo ni vigumu kuonekana kama ilivyo kwa rules za mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Pia jamii isingeweza kuwa na power dynamics zilizopo hivi sasa kati ya wanaume na wanawake kama kusingekuwa na power dynamics kati ya wanaume na wanaume.
Kimsingi, men dont just happily bond together to oppress women. Lakini wanaume huwa tunaji-rank wenyewe kwa wenyewe na huwa tunashindana wenyewe kwa wenyewe kulingana na our masculinity. Tuna-compete wenyewe kwa wenyewe kwa kutumia resources tulizonazo for the differential payoffs that patriarchy allows us as men.
Wanaume katika jamii mbalimbali wana sababu tofauti wanazozitumia kuji-rank wenyewe kwa wenyewe. Baadhi ya jamii huwa zinatumia simple facts kama umri na physical strength and power kuwagawa wanaume. Refer to the theory of social stratification.
Lakini kwa miaka ya hivi karibuni jamii nyingi huwa zinawagawa wanaume according to their physical strength and athletic ability kwenye miaka ya mwanzo, lakini kwa maisha ya baadae ya wanaume hawa jamii ina-focus zaidi kwenye success with women na uwezo wa kutengeneza pesa. Mfano mzuri ni rappers wa Kimarekani ambao wame-influence sana hii practice.
Sasa unapo-link hii power struggle between men na mens power over women, unakuta kwamba power struggle iliyopo baina ya wanaume inafanya wanaume wawatumie wanawake kama symbols of success dhidi ya wanaume wengine, kama mediators, kama refugees na sometimes kama underclass. Kama unahitaji more explanation ya hizi roles let me know.
Kwenye roles zote hizi wanawake wanakuwa dominated na wanaume kutokana na direct struggle between men themselves. Kwa hiyo, ili mwanaume aweze ku-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanawake, inambidi kwanza a-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanaume wengine.
Ndiyo maana kwenye hii thread akina dada kama Natalia, Ciello, wispa Mrembo by Nature, Preta na wengine wamekuwa akiwaambia akina kaka kama SAUDARI, Father of All, mzabzab, Bulldog, Matola, Eiyer, mafinyofinyo na wengine kuwa wakiweka financial statements zao mezani, they can be squeezed in kimtindo. It is the only man who can beat the others financially will be squeezed in.
This simply means that kama financial statement ya SAUDARI imekaa vizuri ataweza kumtumia Ciello kama symbol of success dhidi Bulldog, kama mediator, kama mkimbizi and possibly kama underclass.
I respect mawazo ya wengine kama akina BADILI TABIA, Zion Daughter, Mwali, nk, lakini naamini kwamba women emancipation will never succeed, unless there is an end of the sexual politics between men themselves. How will this sexual politics end then?
Only when women stop being used by men as symbols of success against other men, as mediators, as refugees and as underclass. In the meantime, the only way forward for men seems to me to get rich or die trying.