lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #281
SnowBall, pamoja na kwamba lara 1 amefunga mjadala, let me break it down a little bit. Ni miaka ya hivi karibuni tuu tumekuja kutambua kuwa mahusiano ya mwanaume na mwanamke huwa yanaongozwa pia na "sexual politics". Hizi sexual politics huwa zina-exist nje ya mahitaji na choices za mwanaume na mwanamke.
Hata hivyo, kuna sexual politics kati ya mwanaume na mwanamke pia. Tofauti ni kwamba mahusiano kati ya mwanaume na mwanaume huwa yanaongozwa na rules ambazo ni vigumu kuonekana kama ilivyo kwa rules za mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Pia jamii isingeweza kuwa na power dynamics zilizopo hivi sasa kati ya wanaume na wanawake kama kusingekuwa na power dynamics kati ya wanaume na wanaume.
Kimsingi, men don't just happily bond together to oppress women. Lakini wanaume huwa tunaji-rank wenyewe kwa wenyewe na huwa tunashindana wenyewe kwa wenyewe kulingana na our masculinity. Tuna-compete wenyewe kwa wenyewe kwa kutumia resources tulizonazo for the differential payoffs that patriarchy allows us as men.
Wanaume katika jamii mbalimbali wana sababu tofauti wanazozitumia kuji-rank wenyewe kwa wenyewe. Baadhi ya jamii huwa zinatumia simple facts kama umri na physical strength and power kuwagawa wanaume. Refer to the theory of social stratification.
Lakini kwa miaka ya hivi karibuni jamii nyingi huwa zinawagawa wanaume according to their physical strength and athletic ability kwenye miaka ya mwanzo, lakini kwa maisha ya baadae ya wanaume hawa jamii ina-focus zaidi kwenye success with women na uwezo wa kutengeneza pesa. Mfano mzuri ni rappers wa Kimarekani ambao wame-influence sana hii practice.
Sasa unapo-link hii power struggle between men na men's power over women, unakuta kwamba power struggle iliyopo baina ya wanaume inafanya wanaume wawatumie wanawake kama symbols of success dhidi ya wanaume wengine, kama mediators, kama refugees na sometimes kama underclass. Kama unahitaji more explanation ya hizi roles let me know.
Kwenye roles zote hizi wanawake wanakuwa dominated na wanaume kutokana na direct struggle between men themselves. Kwa hiyo, ili mwanaume aweze ku-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanawake, inambidi kwanza a-deal na sexual politics za mahusiano yake na wanaume wengine.
Ndiyo maana kwenye hii thread akina dada kama Natalia, Ciello, wispa Mrembo by Nature, Preta na wengine wamekuwa akiwaambia akina kaka kama SAUDARI, Father of All, mzabzab, Bulldog, Matola, Eiyer, mafinyofinyo na wengine kuwa wakiweka financial statements zao mezani, they can be "squeezed in kimtindo". It is the only man who can beat the others financially will be squeezed in.
This simply means that kama financial statement ya SAUDARI imekaa vizuri ataweza kumtumia Ciello kama symbol of success dhidi Bulldog, kama mediator, kama mkimbizi and possibly kama underclass.
I respect mawazo ya wengine kama akina BADILI TABIA, Zion Daughter, Mwali, nk, lakini naamini kwamba "women emancipation" will never succeed, unless there is an end of the sexual politics between men themselves. How will this sexual politics end then?
Only when women stop being used by men as symbols of success against other men, as mediators, as refugees and as underclass. In the meantime, the only way forward for men seems to me to be get rich or die trying.
Hahahaaaaaaaaaa! Yaani EMT SIJUI NIKUPE NINI? YOU NAILED IT!!!!!!!!!!
Ukiwa na hela bana you take only the best!!!!!!!!!!
Na mimi kama mwanamke napendaje sasa kuwa inbetween hizo power struggle zenu! Si unajua tena vita vya nzige, furaha kwa mie kunguru!!!!!!!
EMT YOU SAID IT ALL!!!!!!!!!!