Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

EMT unajua nini? 'Let's look for money and make life easier'...get rich or die tryin'..na mimi bado naomba watoto wazuri wakaze tu ili masela tuingie chimbo zaidi na zaidi..nashangaa watoto wa kiume wanataka kuvua pichu kwa ubwerere..lol!
I stand to believe that those who think money cant buy happiness probably they shop in wrong malls!...
 
Last edited by a moderator:
dah mashosti wote wametukimbia wametuachia goma peke yetu....hawataki kuonekana gold diggers ila moyoni wanakubali...hahahahahahahahahah
 
Wakubwa zangu shikamooni!

Peopleeeeeeees!

Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!

1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!

2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!

3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!

4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!

5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!

6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!

7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!

8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!

9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!

10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!

Wewe wapenda nini?

Si mpaka uwe mzuri,wenye pesa wanapenda visu vya ukweli,je wewe gumegume!

Wanawake wenye fikra kama za mleta maada ni janga la Taifa,chapa/piga tupa huko waendelee kulalamika wanaume watu wabaya...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahahahah nani hapendi hela bana...kuzaliwa maskini its no option bt kufa maskini its ur choice....hahahahaha
ngoja nikuache naona na wewe umeshakua spoiled na mtoto wa mjini lara.. kuna siku ulimwaga mapweinti nikajua you are the woman kumbe maneno ya plastic tu! yaani unaonekana kabisa wewe ni wa level fulani lakini unataka kujiupgrade.. mchana mwena
 
mambo mazuri hayataki haraka....so nasubiri wamalize kupigana vikumbo yakiwashinda itakuwa zamu yangu...hahahahahahah
Ulijifanya hauna haraka,wenzako wameshachangamkia dili,endelea kusugua bench usubirie sub...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu Prisoner 46664 uko poa?? vp competition imefika level gani??

lolz..niko poa mrembo Ciello..ndo hivi tena hapa nipo na bi mdogo nalipa fadhila kwanza kwa kuniweka mjini...ishakuwa balaa mpaka nikipita mtaa watoto wananinyooshea vidole sasa sijui ni nani aliyevujisha true ID yangu.,,

ha ha..tunacheki premier league game hapa kama sehemu ya mapumziko yetu mafupi..daaayymm!!she hot!!..ameniunguza kbs!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah haya bana naona waniringishia!!! ukimchoka sub nipo....hahahaahah

Wanaume wasio na pesa ni wakukimbiwa.yaani sometimes I wonder wanawake wenye Wanaume wasio na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.poor men is not attractive.Dead beat men need to stop dating very Hard looking

Never say this again my sis, coz a man he appriciates, but a lady deppriciates, that''s y an old man can have a very small aged lady.
 
EMT unajua nini? 'Let's look for money and make life easier'...get rich or die tryin'..na mimi bado naomba watoto wazuri wakaze tu ili masela tuingie chimbo zaidi na zaidi..nashangaa watoto wa kiume wanataka kuvua pichu kwa ubwerere..lol!
I stand to believe that those who think money cant buy happiness probably they shop in wrong malls!...

Thats the best line I've heard this whole week mkuu SnowBall...huu ni ukweli mtupu...
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wasio na pesa ni wakukimbiwa.yaani sometimes I wonder wanawake wenye Wanaume wasio na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.poor men is not attractive.Dead beat men need to stop dating very Hard looking

Bora uolewe na B.O.T. Maana uwezo wa hizi benki za kawaida ni wa mashaka sana.
 
Si mpaka uwe mzuri,wenye pesa wanapenda visu vya ukweli,je wewe gumegume!

Wanawake wenye fikra kama za mleta maada ni janga la Taifa,chapa/piga tupa huko waendelee kulalamika wanaume watu wabaya...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahaaaaaaaaaaaa! Usilolijua Litakusumbua Sanaaaaaaa!
 
hahahahahah haya bana naona waniringishia!!! ukimchoka sub nipo....hahahaahah

Ha ha..shaka ondoa..kwanza keshanipiga mkwara hapa..,,anadai this is one for the road tu nisizoee sana,,unless and until 'bro' amesafiri...lolz!
 
hahahahahah nataka kujitosa so naangalia competitor ka nawamudu....bt ka ni ww ngoja nikae pembeni nikuachie ujinafasi kwa raha zako....hahahahahahah

Hahahaaaaaaaaa! Unajitosaa tu! We si ushasika Prisoner 46664 ana kisu kirefuuuu kama seikali ya Bahrain!!!!!! Vogue kama 3! True ID yake ni ndugu yake Richard Mziray au jina lake ni Mike Mziray!!!!!!!!! Sasa we jifanye unacheza kwa step tu, Zubaa zubaa utakuta mwana si wako! Shaurilo!
 
Last edited by a moderator:
simba mwenda pole ndo mla nyama shauri yenu!!!!
Hahahaaaaaaaaa! Unajitosaa tu! We si ushasika Prisoner 46664 ana kisu kirefuuuu kama seikali ya Bahrain!!!!!! Vogue kama 3! True ID yake ni ndugu yake Richard Mziray au jina lake ni Mike Mziray!!!!!!!!! Sasa we jifanye unacheza kwa step tu, Zubaa zubaa utakuta mwana si wako! Shaurilo!
 
Hili joka la kabisaaaa! Special kwa maonesho! Halingati!!!!!!! He si too much a gentle man to do the unexpected of him!

Sasa as a man of the moment I am officially ordering juice for you!!....you need it..this redd's aint doing you no good!!

.wapi yule waitress mwenye kidoti kama jokate hapaa!!?
 
dah mashosti wote wametukimbia wametuachia goma peke yetu....hawataki kuonekana gold diggers ila moyoni wanakubali...hahahahahahahahahah

shost sijawakimbia mie sehemu akiwa lara na wewe najua mnawadumu
 
Wakubwa zangu shikamooni!

Peopleeeeeeees!

Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!

1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!

2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!

3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!

4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!

5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!

6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!

7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!

8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!

9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!

10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!

Wewe wapenda nini?

Damn,I always read btn the lines of the posts of this woman........I never get bored,above all she always manges to get on most Jamii forums men's nerves!........lolest
 
Back
Top Bottom