lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #201
Kama kweli una akili chukua pesa na invest vitu vyako vya maana..lkn vipesa uchwara vya biere, kukujazia mafuta kwenye gari sijui shopin mlimani city vitakusaidia nini??
Weweeeeee! Mi nainvest mwenyewe sanaa! Tena pesa ya hongo inaniongezea mataji kichiziii! Alafu hela zangu zinakaa bank tu, coz expenses zote na bill kwa wadau! Hapo mtu nikiangali account inasoma!!!!!!! Isitoshe hela yako kununua miwigi, viatu in 3 colours, miguo, inaumaaaaaaaaaaa! Ila ukinunuliwa swadaktaaaaaaa kabisa!
Asikwambie mtu pesa ya kuhongwa tamu sanaaaaaa! Haina mawazo kuitumia!
Isitoshe zina expenses za kumsaidia mwanaume, au kumweka mjini kidume kizimaaaaaaaa!
Sio kwamba nachofanya sikielewi, nimeamua tukuwa chunaji!