Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

mwanaume kuwa na pesa nisifa moja,je hizi mbili zilizobaki hamna shida nazo? Msilalamike msiporidhishwa na huduma za kitandani.,pia msitoke nje kufuata huduma nzuri..a.k.a kukunwa mpaka kumtimaa!
Au hadi anajichungulia kama haijachomoka!!
 
Mwanamke pesa kwanza, chuchu baadaye, anachohitaji kwangu iwe ni kumgegeda kwa sana tu mpaka aipooze na feni.

nisubiri hapohapo niendelee kuchuna nikipata za kukutunza nitakufata
 
Hahahah bt there is alwayz a rum ukiweka financial statement yako mezani u can b squeezed in kimtindo usihofu halua haina makombo babu!!

ngoja nikuache naona na wewe umeshakua spoiled na mtoto wa mjini lara.. kuna siku ulimwaga mapweinti nikajua you are the woman kumbe maneno ya plastic tu! yaani unaonekana kabisa wewe ni wa level fulani lakini unataka kujiupgrade.. mchana mwena
 
Ni nzuri sana mwanamke ukiwa independent ...business zako n.k. ukimpata mwenye hela anaongezea tu..
Ukiwa na mtu mwenye pesa afu huna kitu basi hata self esteem inashuka na sheli juu kwani kila kukicha una wasiwasi atakuacha na kwenda kuwanunua wengine kama anavokununua...
 
Sipo ivyo ciello, na maana yangu kukuuliza ivyo mdogo wangu.. Hapati huduma ili upige mzigo, kumhudumia girlfriend ambae unategemea awe mke wako badae si kosa na c hadi akupe game. Ila hoja kwani nje anawapa alafu wewe hakupi?

Ismail una ushahidi wa picha au , kama hakupi subiri c unataka wife material wewe , haraka za nini
 
Ni nzuri sana mwanamke ukiwa independent ...business zako n.k. ukimpata mwenye hela anaongezea tu..
Ukiwa na mtu mwenye pesa afu huna kitu basi hata self esteem inashuka na sheli juu kwani kila kukicha una wasiwasi atakuacha na kwenda kuwanunua wengine kama anavokununua...

Tusiokuwa na pesa hatuachwagiii!!!!!!!!! KUACHIKA KWETU IS NOT AN OPTION!!!!!!! WE HAVE TO MAKE IT WORK AT ALL COSTS!!!!!!!!!!

Lami tushaiacha kitambooo, TZ 11 Tutaiwezea wapi? Tunakomaa nao hivo hivo! hadi kieleweke!

Ngoja nikapande dala niende zangu mtaanai mie, mtu kasafiri magari yake kayafungia kwao!!!! Maisha haya!!! Dunia hii ni sooo aisee! Jua linavochoma kama pasi si balaa hili!

Mwenye AUDI Q7 Lift yako inahitajika mitaa ya Kino huku!
 
Kama kweli una akili chukua pesa na invest vitu vyako vya maana..lkn vipesa uchwara vya biere, kukujazia mafuta kwenye gari sijui shopin mlimani city vitakusaidia nini??
 
hahahahahahah naamini tumezaliwa empty hand and naked bila chochote kama wote tumezaliwa the same hamna aliyezaliwa ameshika mihela ,so kila mtu ana jukumu zakuzitafuta ni zetu wote.hii lakufuata wanaume wenye mihela ndio wanawake wengi mjini hapa wameishiwa kuliwa 0712....... Mpaka wakifika umri wakujifungua ni operation tu mnalo mabibie mnaotafuta wanaume wenye hela poleni mimi mwanaume akiwa na akili nzuri nasema timamu smart hata hana kitu we will fight and get money ,nyie mnaotegemea mkute mjengo kila ndugu anautolea macho inamaana hiyo K yako ni dhahabu sana ,akifa tu mumeo utakuta mpaka kachupi kako kalikochanika kametundikwa nje trust me nimeyashuhudia haya nyie .jenga na mtu hatuaa kwa hatua jitahidi kutafuta na jkubuni mbinu mpya wewe ,jiulize unafikiri UNAFIKIRI MICHELLE ALIMKUTA OBAMA NA MIHELA NYIE .FYUUUUUUUUUUUUUUUUUU MTAISHIA KULIWA TU MJINI HAPA .

i like this, uyo ciello atakua ameiskip hii post na hata kama kaisoma atakua amejifanya ajaelewa..lol
 
Ni nzuri sana mwanamke ukiwa independent ...business zako n.k. ukimpata mwenye hela anaongezea tu..
Ukiwa na mtu mwenye pesa afu huna kitu basi hata self esteem inashuka na sheli juu kwani kila kukicha una wasiwasi atakuacha na kwenda kuwanunua wengine kama anavokununua...

Zion Daughter mwambie lara 1 mpaka asikile, maana mimi napenda wanawake wenye pesa.
Vipi wewe unazo?????
 
My dear Suprise, wachune kama kawaida ila ukifika kwangu ni mahali pa bududani tu.

yap saudari maana we najua huna so kaa pembeni kwa sasa wahudumiwe wenhye nazo ila kwa sababu una unachojivunia hutalala njaa mjini hapa, tutakurudia tu
 
Ni nzuri sana mwanamke ukiwa independent ...business zako n.k. ukimpata mwenye hela anaongezea tu..
Ukiwa na mtu mwenye pesa afu huna kitu basi hata self esteem inashuka na sheli juu kwani kila kukicha una wasiwasi atakuacha na kwenda kuwanunua wengine kama anavokununua...

zion, hii imeshajadiliwa sana hapa JF kama sikosei gfsonwn na swonhite walipiga lecture ya kiutuuzima hapa. usipoteze mda kurudia kuna watu hapa wanatafuta attention tu
 
zion, hii imeshajadiliwa sana hapa JF kama sikosei gfsonwn na swonhite walipiga lecture ya kiutuuzima hapa. usipoteze mda kurudia kuna watu hapa wanatafuta attention tu

Kumbe....basi ngoja niondoke kimya kimya.. nilikuwepo jamani
 
Kwa hiyo na wew ni yale yale... mie kwangu kama wewe ni mwanaume suruali..i mean wale mabongolala, wavivu, wazembe and the like..samahani sana hawana nafasi kwangu..ni bora uwe single kuliko kukwazika...

Mimi sio wakiivyo i mean ni mchapakazi vibaya mno, nawajibika idara zote ile mbaya yaani sio kazini wala kunako 6*6 kote ni mtafaruku chupi kuchanika. Usidhani ni mwanaume suruali au Nyampsini.
Kama ulidhani hivyo umechuti!!!!!!!!!!
 
yap saudari maana we najua huna so kaa pembeni kwa sasa wahudumiwe wenhye nazo ila kwa sababu una unachojivunia hutalala njaa mjini hapa, tutakurudia tu

Ila nimetokea kuku-luv naweza kuku-,,,nda?????
 
TUTAFUTE tu pesa jamani ndugu zangu wanaume!!..hata MSONDO JAZZ waliimba 'kuzaliwa mwanaume kila kitu kwako kitakuwa ni taabu'...Hawa wadada wanachosema ni sahihi..Maisha bila mkwanja hayaendi!..na ukiwa na MKWANJA mbona unawakamatia tu!!...Nadhani tunachopishana ni levels tu za kuhonga (as kuna kina sie tunaohonga viatu na mikufu na kina nyie mnaohonga vitz)....but all in all angalau kwa asilimia kubwa mwanaume wa 'kiafrika' ni MUHONGAJI na halikadhalika mwanamke wa kiafrika amezoeshwa hivyo!!...Itachukua muda sana hii mentality kubadilika ila kwa sasa acheni tu WARINGIE femininity yao!!!...Any lady who is beautiful and smart as well is invited to chop ma money cuz I DONT CARE!!!
 
Back
Top Bottom