Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

Hakuna cha kusoma wala kusikilizaaa! Huu ni urithi wa bibi zetu, we toka lini maza ako akajipa pressure na kufagia mbolea ya kuku au ngombe! Mwanamke yake Hina na kibarazaaa!!!!!!!!!! Mikono lainiiii kwaajili ya kupapasa na massage!!!!!!!!

Mwanamke ukimpigisha shurba anafubaa acheni masikhara!!!!!!!!!!
unaongelea mwanamke wa mjini au wa kijijini?
km ni wa mjini labda hizo shughuli azifanye akiwa kwa wazazi wake ndiyo atakuwa na huo muda wa kufanya kazi za kutoana jasho.
 
Hahahah ofa ya soda lol pesa ngumu jamen

Hahahaaaaaaaaaaaaa! CHEZEA BEI YA DOMPO/AMARULA NA SMINORF VODCA WEE!!!!!!!! Tena kwa mtu anekunywa shots double double!!!!!!!

Shukuru hata hizo soda, mwanzo mgumu!!!!!!!
 
Hao wa kwenu huko!!!!!!!!! Huku kwetu kazaliwa Mwanamke ushatunukiwa Bachelor (Hons) usipotoka kimaisha uzembe wako tu!!!!!

tunajua wadada wa mujin mna mimate sana, sa hiv tunawamega kwa gar za kuazima af tukishakula mzigo tu tunawaachia mavumb, af lara kumbuka mwanamke ana gurantee, ukishapita miaka 26 kutongozwa no mpaka uwe umevaa kimini au skinjeans
 
Sura za waazima magari zinajulikana na windo lao kubwa mademu wa hostel hahahahah
tunajua wadada wa mujin mna mimate sana, sa hiv tunawamega kwa gar za kuazima af tukishakula mzigo tu tunawaachia mavumb, af lara kumbuka mwanamke ana gurantee, ukishapita miaka 26 kutongozwa no mpaka uwe umevaa kimini au skinjeans
 
Mnaleta shida zenu toka kwenu kuja kumalizia kwa mwanaume, kubweteka ndo mnajiendekeza. Mnataka mtafuniwe mje mmeze kilaini. Mfumo dume utawatafuna sana na watawatesha na pesa zao. Endeleeni kuuza kwa wenye pesa.


unamaanisha nini?
 
tunajua wadada wa mujin mna mimate sana, sa hiv tunawamega kwa gar za kuazima af tukishakula mzigo tu tunawaachia mavumb, af lara kumbuka mwanamke ana gurantee, ukishapita miaka 26 kutongozwa no mpaka uwe umevaa kimini au skinjeans

We wa wapiiii! Mi nimegraduate na wadada 21!!!!!!!!! Mi nakaribia kupata Master under 25!!!!!! Shule siku hizi ubongo kidogo na pesa yako tuuuuu!!!!!!!!!!
 
Upande upi wa shilingi? Sie twawakumbusha role yenu mnayoikimbia nowdayz
unakumbusha role gani hizo?
hapo mnataka ujiko kwa mashostito kwa kutoka na multimilionea au?
role za mwanaume wa kweli ninazo zifahamu mimi ni hizi kwa uchache.......
1.kugegenda vizuri.
2.kutimiza wajibu wako ikiwemo kiuchumi ,kijamii na kihisia
3.kutafuta haki zako
4.kuwa na msimamo kwenye mambo unayoyasimamia
5.kuheshimu mwanamke

hayo hapo ni kwa uchache tu ,ila hiyo namba 2 ndiyo imebeba ujumbe mkubwa sana na ni topiki nyingine kabisa.
ila nionavyo mimi kwa kizazi hiki chenu Wanaume inabidi tutafute hayo mafuba kwa nguvu zote na gharama kubwa sana ilimradi tuzipate ,bila kusahau au kuzembe wajibu wa kupiga mashine kiukwelikweli.
 
Sura za waazima magari zinajulikana na windo lao kubwa mademu wa hostel hahahahah

madem wa hostel ndo mpango, sasa nikufuate ww uliegegedwa unapoomba chuo, unapoomba field,unapoomba ajira,unapoomba sut ya graduation, unapotaka kupadishwa cheo
 
Hao si ndo una visent vya kuwanunula chips kuku hahahahahah
madem wa hostel ndo mpango, sasa nikufuate ww uliegegedwa unapoomba chuo, unapoomba field,unapoomba ajira,unapoomba sut ya graduation, unapotaka kupadishwa cheo
 
hahahahahahah naamini tumezaliwa empty hand and naked bila chochote kama wote tumezaliwa the same hamna aliyezaliwa ameshika mihela ,so kila mtu ana jukumu zakuzitafuta ni zetu wote.hii lakufuata wanaume wenye mihela ndio wanawake wengi mjini hapa wameishiwa kuliwa 0712....... Mpaka wakifika umri wakujifungua ni operation tu mnalo mabibie mnaotafuta wanaume wenye hela poleni mimi mwanaume akiwa na akili nzuri nasema timamu smart hata hana kitu we will fight and get money ,nyie mnaotegemea mkute mjengo kila ndugu anautolea macho inamaana hiyo K yako ni dhahabu sana ,akifa tu mumeo utakuta mpaka kachupi kako kalikochanika kametundikwa nje trust me nimeyashuhudia haya nyie .jenga na mtu hatuaa kwa hatua jitahidi kutafuta na jkubuni mbinu mpya wewe ,jiulize unafikiri UNAFIKIRI MICHELLE ALIMKUTA OBAMA NA MIHELA NYIE .FYUUUUUUUUUUUUUUUUUU MTAISHIA KULIWA TU MJINI HAPA .

Hahaaaaaaaaaaa! Bibi wewe tumezoea vya kunyongaaa! Nyie chinjeni sie tuje tule kiulainiiiiiiiiii!!!! Nyote njema huonekana asubuhi atiiiii! We mtu 30yrs hana Corolla au hata Vitz utegemeee atanunua BMW au AUDI Q7 kweliiiiiiiiii! Si wazimu huo!!!! "In this life you get few chances if you are not smart enough to grab those chances by the balls tightly you will end up woundering how you became second rated in this life!"

Sasa sisi ni wazee wa CALCULATED RISK!!!!!!!!! Kama ana Harrier Benzi haiko mbali sio msaga lami!!!!!
 
Demu mwenye mawazo kama haya naona ni mlupo tu. Ukiona mwanaume tunatumia pesa sana kwa ajili yako sio kwamba unathamani kwetu.
Wanawake hawajionagi wao ni kama maua. Vile vile wamejaa na wako wengi.
Weewe ukijifanya kunitumia kuna mwenzako atanipenda kwa dhati.
Muogope mwanamke anayejali pesa na hawa huwa nawatreat kama mlupo tu.
 
Back
Top Bottom