Hahahah eti culture yangu! We wanifahamu miye? Au wafanya assumptions? 4ur info siwezi kuwa na loser , anaweza asiwe tajir bt coz yuko smart huo utajir twaweza upata mimi na yy ! bt a loser? Gv m a break
kumbe unatambua kwamba pesa mnaweza tafuta wote sio! aya inakuaje unatolea macho pesa za mwenzako kama vile wewe ni disabled? btw, loser kwako ni mtu gani? naweze leo nikawa loser kesho tycoon!