Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Huyo mwanamke atakula huo mchomeko wako?
Hivi ukaolewa na tajiri halafu ukakuta dushelele hakuna,utabaki?
Pesa ina umuhimu katika mahusiano,lakini sio huu umuhimu mnaotaka kuuleta hapa!
Huyo mwanamke atakula huo mchomeko wako?
hapa tunaongelea bilions au multi-millions ,,,, hizo za kula ,kusomesha ,shopping ,kuendesha ,kuishi ,kutoka ni mambo ya kawaida sana as a real man ni lazima uyatekeleze...... ila hizo za kuwa kama kina Mengi ,Rostam ,Bakhresa na wengineo kama hao ndiyo furaha ipatikane hell NO. kuna SIRI moja kuhusu PESA " PESA NI ZILE ULIZONAZO WEWE" ,ukishalitambua hilo ndiyo utachekecha akili!Huyo mwanamke atakula huo mchomeko wako?
Hivi ukaolewa na tajiri halafu ukakuta dushelele hakuna,utabaki?
Pesa ina umuhimu katika mahusiano,lakini sio huu umuhimu mnaotaka kuuleta hapa!
Hahahahah kumbe ulikuwa unanistalk eeeh napunguza usumbufu na kero za PM so nawaweka wazi wajue kabisa kama ni walalahoi wanipitie kushoto! Mwanaume pesa ndevu urembo hawawezi nigegeda kwani sivui pichu hovyo hovyo!!
Mwana FA anakwambia mwanaume kuwa na pesa ni sawa na demu mzuri.. Unafanya masihara kuporwa Jokate na mtu kama Hasheem Thabiti??! Hala hala jaman tutafute pesa.
hapa tunaongelea bilions au multi-millions ,,,, hizo za kula ,kusomesha ,shopping ,kuendesha ,kuishi ,kutoka ni mambo ya kawaida sana as a real man ni lazima uyatekeleze...... ila hizo za kuwa kama kina Mengi ,Rostam ,Bakhresa na wengineo kama hao ndiyo furaha ipatikane hell NO. kuna SIRI moja kuhusu PESA " PESA NI ZILE ULIZONAZO WEWE" ,ukishalitambua hilo ndiyo utachekecha akili!
narudi kusema hivyo vingine ni supplements tu ,ila cha kwanza kabisa ni MGEGEDO wa maana...mwanaume hujaweza kumpa hilo mwanamke wako hamtaweza kuwa na furaha hata siku moja.
Hahahahah kumbe ulikuwa unanistalk eeeh napunguza usumbufu na kero za PM so nawaweka wazi wajue kabisa kama ni walalahoi wanipitie kushoto! Mwanaume pesa ndevu urembo hawawezi nigegeda kwani sivui pichu hovyo hovyo!!
Hahhaaaaaaaaa! Jamani wachina wote hawa tutakosaje! We dushelele unaloooo? Au ndo kibamia ila kelele nyingiiiiiiii!
Ayo mambo mwamchie lara1, wewe endelea na culture yako tu.. kuwa na maisha yako nakuona unajilazimisha vitu ambavyo ni mgeni navyo
ndoto kivipi?Acha kuota ndoto za alinacha
Hebu muulize J-Lo alikua anakosa kitu gani kwa P Didy mpaka akamkimbia!
Huo mfano ulotoa hauapply in real life, pesa ina umuhimu tena tunaousisitiza hapa so mjipange mambo ya kupiga soga vijiweni yamepitwa na wakati...play ur roles
ndoto kivipi?
ndiyo nawaambieni ,huwezi kusema money can buy everything kwenye mapenzi na vile vile huwezi kusema anything can buy everything kwenye mapenzi.
nishasenaga na nasema tena "Sitaki demu/mke na V.A.T"....ina lara 1 nikakuoa alafu ikafika kipindi mpunga ukapungua na kuisha kabisa,je utaniacha uende kwa mwingine?''''''jibu kwanza hili alafu...nitarudi
sasa we Sauduari unataka mwanamke pesa au mwanamke chuchu saa sita chagua moja bana,halafu we unaonyesha unapenda kulelewa
Wakubwa zangu shikamooni!
Peopleeeeeeees!
Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!
1. Kutoka na mtu anaejiweza kuna sifa bwana asikwambie mtu!!!!!! Kila mtu anaona umeukata (Japo kiukweli sina lolote) ila tu jamii kukukubali kiaina na kukuwazia positive jst because ni Demu wa flani kuna raha yake wajameni!
2.Self esteem na comfidence level approaching 1000% Dah! Yaani among all choices alizoweza kumake kanichagua mie!!!!!!!! Bonge ya achievement na accomplishment hiyo!!!! Kwenye hierachy of Needs self satisfaction iko juu mbayaaa!
3. Its always about him!!!! Kila saa anajiongelea yeye na mikakati yake! Sasa kwa mtu kama mie mwenye past ya kuficha ficha si manajua every Saint has a past na every sinner has a future!!! inakuwa afazali nageuka msikilizaji na msapotiji tu! ! Ila mlalahoi lazima akujue in details!!!!!
4.Tittle! Unatoka kuwa little Miss No Body hadi Demu wa Flani! Si mchezo atiii! You share his glory! Hata wanawake wenzio wanaanza kukunotice Kubwa lao ukikatiza!
5.Gifts na Shopping!!!!!! Daaaaaah! Kwa raha zako unajimwaga! Sio anakupa coz anakupenda sanaaa, nooo! Coz kwake ni mambo madogo sanaaaa! He can afford! I dont care! Japo mlalahoi akikupa ujue amekuthamini sanaaa!
6.Networking na Exposure! Na wewe unaanza kukutana na watu wa maana, kwenda sehemu za maana na kuwa wa maana! Si yule chausiku wa mtaa wa pili, ila ni Madam Chau!
7. Social approval unaipata fastaaa! Jamii haiweki vikwazo visivyo na tija! Kila mtu busy kujikomba komba nae aponee hapo hapo! Mashosti hata kama Iddi Amini Dadar watamsifu handsome tena baby face!
8.Pressure na wogawoga wa kuishiwa na kurudi kijijini unakuisha! Mambo ya kuhesabu tarehe yanakuisha! Kila siku kwako mwisho wa mwezi!
9. Watoto ukizaa huna stress kabisaaa, insurance za kumwaga unajua kesho yao iko guaranteed!
10.Dreams come true! Kama mwenyewe ulikuwa na ndoto zako kuzitekeleza njenje!!!!!!!!
Wewe wapenda nini?
Hauapply ki vipi?Hebu fafanua,what real life anyway?Au ubongo wenu ndo hauapply?
hilo kwangu siyo tatizo hata kidogo bibie.......na sidhani km ni tatizo kwa wanaume wote wanaojitambua na wanatambua majukumu yao.Hahahah tafuta pesa bana acha kupiga mayowe