antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 45,090
- 121,577
Wanataka vyote mkuu..Wanataka hela tuuu
Umfikishe na pesa juu😁
👇👇
Utavumiliwa kwa miezi sita, kama unaumwa au kuna janga seriously lilikukuta ntakuelewa.
Ila ikiwa ni uvivu wa kitambi au uchovu wa bia za jioni utanisamehe