Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,435
5,102
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.

Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake wazuri/warembo ni sawa tu na wanawake kupenda wanaume watakaoweza kuwahudumia.

Shida inakuja mwanaume unataka mwanake mzuri halafu hauko tayari kuwahudumia, ni lazima ulizwe. Sifa ya mwanaume ni kuhudumia
 
Hana kosa, ila sisi kwa viwango vyetu vya kijamii tunaona ni kama anafanya transaction/exchange /Biashara sababu inahusu fedha
 
Mim nachosema
KWA MWANAUME MASIKINI AU ASIYE NA HELA SALAMA YAKO NI UHAKIKISHE MDADA/ MMAMA ANAFIKA

....fanya ufanyavyo ila hakikisha amefika. Fanya hata uchafu hiyo ndio ajira yako vinginevyo mtuondokee
Mara yako ya mwisho kufika ilikua lini?
 
Mim nachosema
KWA MWANAUME MASIKINI AU ASIYE NA HELA SALAMA YAKO NI UHAKIKISHE MDADA/ MMAMA ANAFIKA

....fanya ufanyavyo ila hakikisha amefika. Fanya hata uchafu hiyo ndio ajira yako vinginevyo mtuondokee
Khaaa uchafu upi huo
 
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.

Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake wazuri/warembo ni sawa tu na wanawake kupenda wanaume watakaoweza kuwahudumia.

Shida inakuja mwanaume unataka mwanake mzuri halafu hauko tayari kuwahudumia, ni lazima ulizwe. Sifa ya mwanaume ni kuhudumia
Sasa unataka kushindana na wanaume
 
Kila mtu na mtazamo wake na kila mmoja wetu atapata kadiri ya matamanio yake huwezi pata kuzidi wala kupungukiwa
 
Mim nachosema
KWA MWANAUME MASIKINI AU ASIYE NA HELA SALAMA YAKO NI UHAKIKISHE MDADA/ MMAMA ANAFIKA

....fanya ufanyavyo ila hakikisha amefika. Fanya hata uchafu hiyo ndio ajira yako vinginevyo mtuondokee
Je kama mwanaume anazo za kutosha, akijifikisha mwenyewe tu hutapeleka mbususu kwingine?
 
Mim nachosema
KWA MWANAUME MASIKINI AU ASIYE NA HELA SALAMA YAKO NI UHAKIKISHE MDADA/ MMAMA ANAFIKA

....fanya ufanyavyo ila hakikisha amefika. Fanya hata uchafu hiyo ndio ajira yako vinginevyo mtuondokee
Kwa komenti hii wanaume tutafute mabikira.Bikira hajui maana ya kufikishwa anafurahia tu lolote unalomfanyia.
 
Vibamia tumekwiahaaaaaa😭😭😭😭😭😭
Urefu au ufupi haujalishi, issue ni unanimaseji kivipi.
Hata bila kuingiza ukiweza kusoma hisia unajua nizidishe wapi nipunguze wapi.
Nan anataka kuumizwa na mikono ya watoto?
 
Back
Top Bottom