Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

duh...sasa nawezaje kujua anachokitaka....nimuulize tu moja kwa moja😂
Sikiliza!!!
Unajua wanawake wanaridhishwa na wanawake wenzao kuliko wanaume .. systematic touchings in hotspots... reading your partner waves...
Mwanaume anayejali lazima hii kitu uwe nayo. So bila hata uume mwanamke uliyekwisha kutoka naye zaidi ya mara tatu waweza kumkojolesha
 
duh.....vile nina uchungu na pesa yangu itabidi nijielimishe kuhusu hivi vitu aisee 😂
 
Daah watu tunatofautiana asee...situmiagi hela kabisa mimi na mara nyinge hawa ke huwa ndo wananifata...be a man with value....utaona ke wanamiminika umpi ,pesa wala humkojozi lakini anakufata kama kupe.

What value? Women want demonstrable value ama social proof.

Moja ya components za Alpha ni sexual mastery.
 
We huoni ni vitu tofauti hapo?? Wote tupendane kwa physical appearance sio vitu vya kushikika kama hela. Tunapenda wanawake wazuri na nyiee mpende wakaka wazuri au gentleman full stop mambo ya mfuko wake hayakuhusu sana.
 
Inatakiwa kuwa na utimamu wa akili kulijadili hili na sio akili za mlipuko wa hisia.

Sasa nitakuuliza mfano Mwanaume akaja muoa dada yako mzuri sana. Na huyo mwanaume anapesa na anatoka familia ya kujiweza. So dada yako ana uhakika wa kupata mahitaji yote atakayo hadi uzeeni.

Je umri unavyozidi kwenda dada yako ataendelea kuwa na uzuri ule ule wa usichana hata akifika umri wa miaka 40+ ?

Maana huyu mwanaume anauhakika wa kuendelea kuwa na pesa hadi wakati huo na pengine pesa zitaongezeka mara dufu.

Mwanamke na mwanaume wana mahitaji natural. Ukitaka kuyafahamu rejea maisha ya kijijini yale maisha ya asili bila hizi material things yaani haya maisha ya mjini. Hapo ndipo utajua kuwa mwanamke kwa sasa anahisia zinazoendeshwa kwa tamaa na sio ukweli au uhalisia.

Mwanamke anatazama video za muziki anaona ile lifestyle ya wanawake wa marekani mara wameshika iPhone 14 pro max, magari ya bei, nyumba, mavazi, zile hotel mitoko basi ubongo wake unashawishika kuvitamani vile vitu na anataka kijana wa kitanzania ambaye hata kumudu kumnunulia Infinix ya laki mbili ni mtihani ampatie hayo mahitaji ambayo jumla yake ni mamilioni ya shilingi.

So mwanamke ambaye anaendeshwa na tamaa anakuwa hana tofauti na mtoto mdogo anayeamini baba yake anaweza mnunulia chochote anachotaka hata akitaka usiku wa manane na asipopewa basi kilio kinaanza.

Sasa kama ndio wanawake wenyewe ndio wapo hivi na tunatakiwa kujenga nao familia na jamii basi tumeshafeli. Maana sisi wanaume tunaishi kwenye uhalisia na sio ulimwengu wa tamaa.

Hiyo miili ya wanawake unayosema tunavutiwa nayo ni maumbile waliyopewa free na MUNGU hawajalipia wala kugharamia hata mia moja wao kwann waweke dau ili sisi kuwa nao baada ya kuvutiwa na uzuri wao?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.

Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake wazuri/warembo ni sawa tu na wanawake kupenda wanaume watakaoweza kuwahudumia.

Shida inakuja mwanaume unataka mwanake mzuri halafu hauko tayari kuwahudumia, ni lazima ulizwe. Sifa ya mwanaume ni kuhudumia
Aliye kwako mzuri kwa mwingine ni mbaya
Beauty lie on eye of beholder ni tofauti ukiwa na fedha una fedha tu
 
Fact
 
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.

Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake wazuri/warembo ni sawa tu na wanawake kupenda wanaume watakaoweza kuwahudumia.

Shida inakuja mwanaume unataka mwanake mzuri halafu hauko tayari kuwahudumia, ni lazima ulizwe. Sifa ya mwanaume ni kuhudumia
Ninaamini ni wazi kabisa (na pia imethibitishwa na sayansi) kwamba upendo na mvuto hautokei kwa kujitenga bali ni matokeo ya sababu kadhaa zisizo tu za kibaolojia/kijenetiki, bali pia za kitamaduni.

Kutoka mtazamo wa kibaolojia, nadhani inaweza kusemwa kuwa sifa za kupendeza (kama muonekano unaovutia) na utajiri na uwezo wa nguvu unavutia wanaume na wanawake, ambayo inafanya maana kwa sababu muonekano unaovutia mara nyingi unahusishwa na afya na uwezo wa kuzaa, na sihitaji kuelezea faida za utajiri ;).

Hata hivyo, ukweli kwamba inaonekana kuwa muhimu zaidi kwa wanaume "kuhudumia" (kifedha) na kwa wanawake kuwa "wazuri" na sio kinyume chake ni dhahiri ni utamaduni na pia inaonyeshwa katika mila nyingine kama vile kutoa mahari (ambayo ni jukumu la wanaume pekee kuonyesha nguvu zao za kiuchumi badala ya wanawake).

Ukweli kwamba ni utamaduni haupunguzi thamani yake kwetu, lakini inamaanisha kuwa inaweza kubadilishwa ikiwa sisi kama jamii na jumuiya tutapenda matarajio tofauti kwa kila jinsia. Ukumbusho kwamba wanaume wanatarajiwa kutoa huduma sio jambo la kiasili, ni kabisa utamaduni, kwani wanawake kwa kiufundi pia wana uwezo sawa wa "kutoa huduma", iwapo watapewa nafasi hiyo. Hata hivyo, kwa sasa, kutokana na ubaguzi wa kimfumo, ni rahisi zaidi kwa wanaume kufikia nafasi ya nguvu na utajiri kuliko wanawake na pia inategemewa zaidi kutoka kwao. Wanawake (kimtazamo wa kitamaduni) wanatarajiwa kutafuta utajiri kupitia ndoa.

Ninaelewa kuwa wanaume wanahisi kuwa ni haki kwamba wanawake wanawapenda kwa sababu ya utajiri wao na sio kwa nani wao ni, lakini kubadilisha hilo pia kunamaanisha kubadilisha upatikanaji wa wanawake kwa nafasi hizo. Ni ikiwa wanawake watakuwa na upatikanaji sawa na nguvu na utajiri kama wanaume, hawatalazimika kutafuta hilo kupitia mahusiano ambayo - mwishowe ninaamini - yataleta faida kwa kila mtu. Kwa maneno mengine, wapendwa, #tunapaswakuwawafeministi wote.
 
Back
Top Bottom