Wanaume huwa mnasema wanawake wanapenda kuolewa na matajiri na watu wenye uwezo

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,660
68,628
Kila mara mnalalamika na kufungua nyuzi za kusema wanawake wanapenda watu wenye pesa na uwezo mkubwa,nimekuwa nikiangalia kuna watu kama watatu wana uwezo kipesa na kiuchumi wapo Poa ,ni wale wanaume anakuoa unakaa nyumban tu kila kitu kitaletwa unachotaka utapata na hata ikitokea wamekufa wana makampuni yashakuwa makubwa utatunzwa .lakin hao wanaume watatu tofauti nnaowafaham vyema wake zao waliwakimbia na sio mmoja walioa wakaenda wakaongeza tena wamekimbiwa tena ,unajiuliza hawa wanakosa nin mpaka wanakimbia na mahitaji wanapata kila kitu wakati huku kuna wanawake wameolewa na wanaume bado wanajitafuta na hawatoki kwa ndoa zao,au uhuru hakuna maana ile ya kuletewa kila kitu ndani hakuna mashoga na kuzurura labda wanahitaji .huwa najiuliza sana wakati wadada wanasaka mabwana matajiri wengine wanawakimbia
Basi kuna kitu zaidi ya pesa wanawake wanahitaji au mnasemaje?maana wengine waachwa kwa ufukara wao ,wengine wanazo wanakimbiwa.

Nin shida 🫣
 
Siri ya mtungi hiyo usikute hao jamaa wana michezo ya kuwaingilia kinyume na maumbile wake zao hivyo inapelekea wanawake kuwakimbia.

Pia usikute hizo mali zimetafutwa na zinalindwa kishirikina.
 
Kabisa inaweza kuwa mali za kichawi mashart ndo yana mkimbza..
Siri ya mtungi hiyo usikute hao jamaa wana michezo ya kuwaingilia kinyume na maumbile wake zao hivyo inapelekea wanawake kuwakimbia.

Pia usikute hizo mali zimetafutwa na zinalindwa kishirikin

Siri ya mtungi hiyo usikute hao jamaa wana michezo ya kuwaingilia kinyume na maumbile wake zao hivyo inapelekea wanawake kuwakimbia.

Pia usikute hizo mali zimetafutwa na zinalindwa kishirikina.
 
Kila mara mnalalamika na kufungua nyuzi za kusema wanawake wanapenda watu wenye pesa na uwezo mkubwa,nimekuwa nikiangalia kuna watu kama watatu wana uwezo kipesa na kiuchumi wapo Poa ,ni wale wanaume anakuoa unakaa nyumban tu kila kitu kitaletwa unachotaka utapata na hata ikitokea wamekufa wana makampuni yashakuwa makubwa utatunzwa .lakin hao wanaume watatu tofauti nnaowafaham vyema wake zao waliwakimbia na sio mmoja walioa wakaenda wakaongeza tena wamekimbiwa tena ,unajiuliza hawa wanakosa nin mpaka wanakimbia na mahitaji wanapata kila kitu wakati huku kuna wanawake wameolewa na wanaume bado wanajitafuta na hawatoki kwa ndoa zao,au uhuru hakuna maana ile ya kuletewa kila kitu ndani hakuna mashoga na kuzurura labda wanahitaji .huwa najiuliza sana wakati wadada wanasaka mabwana matajiri wengine wanawakimbia
Basi kuna kitu zaidi ya pesa wanawake wanahitaji au mnasemaje?maana wengine waachwa kwa ufukara wao ,wengine wanazo wanakimbiwa.

Nin shida 🫣
Mwanamke akiwa hajapata pesa anakuwa anahisi peaa ndio kila kitu anaweza kumwacha anayempenda akaenda kwa mwenye pesa. Akishapata pesa akazizoea anaanza kuona mapungufu maishani mwake anatamani amrudie yule ampendae.
Ni sawa na wewe, kama hujapata kitu unatamani ukipate unaweza kugharamia kukipata ukishakipata baada ya week unaona kumbe kawaida hata si big deal.
 
Mwanaume Kutaka kumwelewa mwanamke ni kujitafutia kifo mapema. Ndio maana maandiko matakatifu yanasema tuishi nao kwa akili.

Ukiangalia kunavitabu vingi sana vinavyomzungumzia mwanamke kama kile cha power of The pussy but still havijawahi kutoa suluhisho lililobora kuhusu mwanamke.
 
iv huwa imekaaje apo ,kuna nini nyuma ya pazia?
 
Mwanaume Kutaka kumwelewa mwanamke ni kujitafutia kifo mapema. Ndio maana maandiko matakatifu yanasema tuishi nao kwa akili.

Ukiangalia kunavitabu vingi sana vinavyomzungumzia mwanamke kama kile cha power of The pussy but still havijawahi kutoa suluhisho lililobora kuhusu mwanamke.

IMG_1009.jpg
 
Kila mara mnalalamika na kufungua nyuzi za kusema wanawake wanapenda watu wenye pesa na uwezo mkubwa,nimekuwa nikiangalia kuna watu kama watatu wana uwezo kipesa na kiuchumi wapo Poa ,ni wale wanaume anakuoa unakaa nyumban tu kila kitu kitaletwa unachotaka utapata na hata ikitokea wamekufa wana makampuni yashakuwa makubwa utatunzwa .lakin hao wanaume watatu tofauti nnaowafaham vyema wake zao waliwakimbia na sio mmoja walioa wakaenda wakaongeza tena wamekimbiwa tena ,unajiuliza hawa wanakosa nin mpaka wanakimbia na mahitaji wanapata kila kitu wakati huku kuna wanawake wameolewa na wanaume bado wanajitafuta na hawatoki kwa ndoa zao,au uhuru hakuna maana ile ya kuletewa kila kitu ndani hakuna mashoga na kuzurura labda wanahitaji .huwa najiuliza sana wakati wadada wanasaka mabwana matajiri wengine wanawakimbia
Basi kuna kitu zaidi ya pesa wanawake wanahitaji au mnasemaje?maana wengine waachwa kwa ufukara wao ,wengine wanazo wanakimbiwa.

Nin shida 🫣
Walioa malaya,malaya hafugiki.
Ikiwa hauamini kuwa malaya hafugiki,fuga kunguru.
 
Mwanamke akiwa hajapata pesa anakuwa anahisi peaa ndio kila kitu anaweza kumwacha anayempenda akaenda kwa mwenye pesa. Akishapata pesa akazizoea anaanza kuona mapungufu maishani mwake anatamani amrudie yule ampendae.
Ni sawa na wewe, kama hujapata kitu unatamani ukipate unaweza kugharamia kukipata ukishakipata baada ya week unaona kumbe kawaida hata si big deal.
Mfano mzuri ni XTREME enzi za lona longer au CHEKA.. mwanzoni mtu anaongea na simu masaa yote 12 halafu siku zinaposogea anakuta kaongea nusu saa tu kwenye masaa 12
 
Back
Top Bottom