Kwa mwanaume mwenye miaka 43 ambae mke wake kafariki ama ndoa imevunjika na anataka kuoa upya, ni vema aoe mwanamke mwenye miaka mingapi ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Stage ya ujana ndio imezoeleka kuoa lakini lolote laweza tokea, yawezekana mwanandoa akafariki ama mkaachana, n.k.

Kwa mwanaume mwenye 43 ambae alishaoa ujanani lakini kapatwa na gharika mojawapo na kaamua maisha yaendelee aoe, yafaa achague binti mdogo ama mwanarika mwenzake ?
 
Oa Single Mother, ila hakikisha kuwa ana Trako Kubwa.

Narudia tena kwa herufi kubwa HAKIKISHA ANA MATAKO MAKUBWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Miaka 43 sio mtu mzima, ni kijana wa makamo.

Ushauri hapo 30’s ndio litakuwa chaguo sahihi.
Umri huo kuanza kuhangaika na vitoto vya 20’s utaonekana kituko na mwenye matatizo yaliyopelekea gharika lililoikumba ndoa.
 
Stage ya ujana ndio imezoeleka kuoa lakini lolote laweza tokea, yawezekana mwanandoa akafariki ama mkaachana, n.k.

Kwa mwanaume mwenye 43 ambae alishaoa ujanani lakini kapatwa na gharika mojawapo na kaamua maisha yaendelee aoe, yafaa achague binti mdogo ama mwanarika mwenzake ?
Wenye miaka inayokubalika kisheria.
Kumbuka ni utamu wa mwanaume, hata awe 30, 40, 50, 60 hata 70!
Haimhusu yoyote zaidi ya muoaji..
 
Stage ya ujana ndio imezoeleka kuoa lakini lolote laweza tokea, yawezekana mwanandoa akafariki ama mkaachana, n.k.

Kwa mwanaume mwenye 43 ambae alishaoa ujanani lakini kapatwa na gharika mojawapo na kaamua maisha yaendelee aoe, yafaa achague binti mdogo ama mwanarika mwenzake ?
Kwanini uoe tena na hiyo ingine ilikushinda?

Unajtafutia muhuni wako mmoja mnaishi kisela , mara kapotea mara karudi. Basi full mahaba.

Sema watoto wanabaki na nani kati ya baba na mama?
 
Back
Top Bottom