Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

Mh Raisi ukipokea barua nyingine ya wahusika ya kuomba kujiuzulu, accept without any comments.
 
Kuna kijana wangu nyumbani hivi karibuni amekuja na mkanda wa sinema na kunitazamisha. Ni wa kichina.Kwa Wachina nimezoea kuangalia mikanda ya sinema ya Bruce Lee,Jackie Chan, Donnie Yen, Choo Young Fat na wengineo maarufu. Mkanda aliouleta kijana wangu nyumbani uko tofauti.Simjui hata staa/steringi wa sinema ile.

Unaitwa Shaolin Soccer. Kijana wangu akanishawishi kuuangalia huku akiusifu kuwa uko poa na wa kupigiwa mfano. Alinitabiria kuwa kizungumkuti cha Shaolin Soccer kitatokea kwenye sakata la Escrow.Nikambishia kwa ukali na kumsimanga. Sasa nayaona.

Kwenye sinema hiyo, ingawa simjui steringi, kuna pambano la mpira wa miguu la ajabu sana. Wachezaji huruka huku na kule hewani wakiwa wanalisakata kandanda. Kusakatwa huko kwa kandanda hewani kunachagizwa na wachezaji kupeana mapigo matakatifu ya kung fu hadi kupelekea wachezaji kufa au kujeruhiwa. Kiukweli,pambano hilo la kandanda halieleweki.

Lakini,kijana wangu muda wote wa sinema alikuwa akishangilia ingawa kichina na hata kiingereza hakipandi. Kutoeleweka kwa kandanda la Shaolin Soccer ndiyo hasa burudani yake. Akathubutu kulihusisha na hata kulifananisha kandanda hilo na sakata la Escrow lililoanzia Bungeni na kuendelea hadi sasa uraiani. Shaolin Soccer.

Jana,zilipotolewa aarifaza kuiuzu kwa AG Werema,kijana wangu huyo akanitumia ujumbe mfupi wa maandishi simuni mwangu: "Mzee, Shaolin Soccer imeanza rasmi. Jaji Werema ameianzisha". Nilipomuuliza ajieleze vyema akadai kuwa pambano la Escrow halitaeleweka lakini wapo watakaoathiriwa. Maazimio hayataonekana kufuatwa lakini wananchi watadhia.

Escrow Soccer imeanzishwa na Jaji Werema!


Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Yaani hata kwenye simulizi za hadithi za "mama na mwana" huwezi kupeleka hiyo hadithi
 
tunataka werema afike mahakamani

hii hatua sio kumwajibISHA

images


Huko Nyuma alikuwa anawapeleka huko naye aungane na Mramba na Nani vile? Yona
 
Shikamoo Shemeji FaizaFoxy
Na wewe Mu-Israeli feki Hebu soma hapo https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/764868-hakuna-atakayeachia-ngazi-sakata-la-escrow.html uelewe Shemeji yangu alichoandika sio unaropoka tu bila ya kusoma

Wewe nilikwambia siku nyingi badili hiyo ID, haikufai. Usifikiri Waislam ni wajinga, hakuna kitu kama "Abdul Mohamed".

Kujibandika majina muonekane Waislaam huku hamjuwi kuwa hayo majina yana maana zake na watu hawakurupuki tu.

Mjinga takaesoma id yako atasema aaah, huyu ni Muislaam, kumbe?????/ kafata ujinga. Ni hayo hayo, mnakurupuka na jina la nyuzi bila kuisoma nyuzi. Poleni sana.

Kasome vizuri, wote mnakurupuka na kichwa cha habari, maudhui hamjaisoma.

Tatizo ni shule, mlienda kusomea ujinga.
 
Wewe nilikwambia siku nyingi badili hiyo ID, haikufai. Usikiri Waislam ni wajinga, hakuna kitu kama "Abdul Mohamed".

Kujibandika majina muonekane Waislaam huku hamjuwi kuwa hayo majina yana maana zake na watu hawakurupuki tu.

Mjinga takaesoma id yako atasema aaah, huyu ni Muislaam, kumbe?????/ kafata ujinga. Ni hayo hayo, mnakurupuka na jina la nyuzi bila kuisoma nyuzi. Poleni sana.

Kasome vizuri, wote mnakurupuka na kichwa cha habari, maudhui hamjaisoma.

Tatizo ni shule, mlienda kusomea ujinga.

Kuishiwa tuishiwe tu pesa, zikiisha kichwani mbaya sana.
 
Tunasubiri tibaijuka, muhongo, maswi, chiza na takataka zote zilizosababisha uchaguzi wa serikali za mitaa kwenda hovyo. Waondolewe haraka tuanze harakati za kunadi chama chetu
 
Back
Top Bottom