Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

..mtu anajiuzulu kwa makosa makubwa yaliyolitia taifa aibu na hasara kubwa wewe rais unamshukuru kwa uadilifu???ina maana JK uadilifu anauchukuliaje????..isije ikawa rais huyu wa TZ hajui maana ya uadilifu.....na labda ndio maana hata kwenye katiba mpya waliona hili jambo halina umuhimu....Mtu anaejiuzulu kwa makosa makubwa hivi anakuwaje muadilifu?????
 
Anajitetea eti ushauri wake umechafua hali ya hewa. Hewa gani? Amebanwa hadi anashndwa kujieleza sababu ya kuizulu kwake.
Halafu bosi anamshukuru na kumpongeza kwa kufanya kazi kwa uadilifu. Mtu anajiuzulu kwa kufanikisha wizi wa hela za umma na kulikosesha taifa kodi halafu anapongezwa kwa uadilifu. Magamba bwana! Uhuni mtupu.
 
Usimlaumu, kale ka-ugonjwa kali-athiri ubongo wake. Siku hizi hawezi kuchanganya na zake.


..mtu anajiuzulu kwa makosa makubwa yaliyolitia taifa aibu na hasara kubwa wewe rais unamshukuru kwa uadilifu???ina maana JK uadilifu anauchukuliaje????..isije ikawa rais huyu wa TZ hajui maana ya uadilifu.....na labda ndio maana hata kwenye katiba mpya waliona hili jambo halina umuhimu....Mtu anaejiuzulu kwa makosa makubwa hivi anakuwaje muadilifu?????
 
Usimlaumu, kale ka-ugonjwa kali-athiri ubongo wake. Siku hizi hawezi kuchanganya na zake.
..hadi tumalize 2015 TZ tuna kazi kubwa...maana kila jambo la hovyo likitokea chini ya utawala huu basi ugonjwa wa rais utatumika kutafta sympathy kwa watanzania....ndio maana baada ya kurudi toka US kwa matibabu alitumia mda wote kuzungumzia ugonjwa wake na kusahau issue at hand kwa TZ kipindi kile ilikua escrow....yote hii alifanya strategically kutafta sympathy kwa watanzania....Pia ikulu mda wote tangu arudi wamekua wanachagiza mara oh rais anafanya mazoezi!!! mara oh rais anaaanza kazi!!mara oh bla bla kibao ili tu ku buy time na kutafta sympathy za kijinga kupunguza upepo wa escrow....Wananchi wanasubiri hatua toka kwa rais dhidi ya wezi hawa....mambo ya kuwashukuru wezi kwa uadilifu wao yapo TZ pekee....
 
Kama ushauri wake umechafua hali ya hewa, kivip ashukuriwe kwa uaminifu na uadilifu?

MPOTO aliwah kusema, maneno xa kitoto mtu mzma kumwambia mtu mzima mwenzie kuna walakini
 
Wewe nilikwambia siku nyingi badili hiyo ID, haikufai. Usifikiri Waislam ni wajinga, hakuna kitu kama "Abdul Mohamed".

Kujibandika majina muonekane Waislaam huku hamjuwi kuwa hayo majina yana maana zake na watu hawakurupuki tu.

Mjinga takaesoma id yako atasema aaah, huyu ni Muislaam, kumbe?????/ kafata ujinga. Ni hayo hayo, mnakurupuka na jina la nyuzi bila kuisoma nyuzi. Poleni sana.

Kasome vizuri, wote mnakurupuka na kichwa cha habari, maudhui hamjaisoma.

Tatizo ni shule, mlienda kusomea ujinga.

hivi jambo hili linahusu Uislam???? inakuwaje tena mada imehama.
 
Acha ujinga wewe, uhoro uandike wewe, halafu unasema hatujaelewa. Inaelekea hata ulichoandika hukijui. Nahisi ule mkito wa usiku umekupa ganzi. Hayo ndo madhara ya kushika ukuta

Wewe nilikwambia siku nyingi badili hiyo ID, haikufai. Usifikiri Waislam ni wajinga, hakuna kitu kama "Abdul Mohamed".

Kujibandika majina muonekane Waislaam huku hamjuwi kuwa hayo majina yana maana zake na watu hawakurupuki tu.

Mjinga takaesoma id yako atasema aaah, huyu ni Muislaam, kumbe?????/ kafata ujinga. Ni hayo hayo, mnakurupuka na jina la nyuzi bila kuisoma nyuzi. Poleni sana.

Kasome vizuri, wote mnakurupuka na kichwa cha habari, maudhui hamjaisoma.

Tatizo ni shule, mlienda kusomea ujinga.
 
Kumshukuru Mtu kwa uaminifu wake na uadilifu wake kwa sakata lake la kuisababishia serikali hasara hadi kufikia bunge kuibua mjadala mkubwa kuwahi kutokea ni ISHARA YA USHIRIKI WA IKULU KATIKA WIZI HUO TENA KWA USHAHID WA WAZI KABISA

HUYO ANA UADILIFU NA UAMINIFU GANI?

KUMBE WIZI HUU MMESHIRIKIANA WOTE KABISA
 
hivi jambo hili linahusu Uislam???? inakuwaje tena mada imehama.

Nisome vizuri, linahusu sana Uislam, huwezi ukajipachika jina ambalo linaleta maana tofauti na isiyotahiki katika Uislam.

Unajuwa nyinyi dini zenu mnachukulia kama zipo zipo tu, sisi tupo very serious na mfumo wetu wa maisha, hatutaki utani na Uislam na Mtume yeyote wa Mwenyeezi Mungu. Kumbuka hilo.
 
Acha ncheke miye :heh: :heh: :heh: :heh: :heh:! eti amejiuzulu kwa kuwa ushauri wake haukueleweka, teh teh teh teh teheeee! So, siku zote hizi alikuwa kwenye tafakuri nzito kujua hivi kwanini hali ya hewa imechafuka? Na, ndipo akajua kumbe ushauri wake 'haukueleweka' Kituko hiki!

Mkuu naye ampongeza kwa anachokiita yeye uaminifu na uadilifu.:heh: :heh: :heh: :heh: :heh:
 
Mmh mbona viini macho vinaendelea huko Tanzania.

Ilivyofahamika Jaji F Werema alitakiwa kustaafu kwa mujibu wa sharia za JMTz mwezi Nov 2014. Sasa hii ni DEC 2014 atajiuzuru vipi?

Sarakasi nyingine hiyo na wananchi kizungumkuti.

Poleni
 
Nisome vizuri, linahusu sana Uislam, huwezi ukajipachika jina ambalo linaleta maana tofauti na isiyotahiki katika Uislam.

Unajuwa nyinyi dini zenu mnachukulia kama zipo zipo tu, sisi tupo very serious na mfumo wetu wa maisha, hatutaki utani na Uislam na Mtume yeyote wa Mwenyeezi Mungu. Kumbuka hilo.
we nawe unachafua hali ya hewa humu JF unapaswa kujiuzulu kukoment uislam umeletewa tu we asili yako kuabudu mizimu dini za watu zinakutoa kamasi
 
ooh yes.this is a BOLD MOVE...........its actual 1 step towards taking ethical responsibilities.We expect the other mentioned high ranked government officials to follow suit to pave way for a THOROUGH INVESTIGATIONS...
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

Sasa nimeamini watu Wa Pwani akili imedumaa kutokana kuangalia sana ngoma za vigodoro na kumwaga radhi!! MTU amelitia taifa hasara kubwa kiasi hicho utasemaje Uaminifu na uadilifu? Huyu Rais hamna kitu kabisa!!
 
Kastaafu wewe nani kawaambia amejihuzuru hujaona proffessor kamsifia kazi ishaisha hivyo
 
Back
Top Bottom