mwa 4
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,390
- 755
Chamaingi hapo ni nani kafanya kosa siyo kuadhibu watu bila sababu we mnyarwanda vipi bana..... Nadhani Huyo Ndo Katolewa Kafala, Wengine Wote Wataachwa.
Chamaingi hapo ni nani kafanya kosa siyo kuadhibu watu bila sababu we mnyarwanda vipi bana..... Nadhani Huyo Ndo Katolewa Kafala, Wengine Wote Wataachwa.
Nimekusoma vyema mkuu! Naona source yangu umri ulikuwa ume-Sittimtemvishwa kwa kuongezwa.naomba soma vizuri sana hapo kwenye nykundu. Werema natakiwa kustaafu october 9, 2015![]()
We mke wa mtu kuwa na adabu utapoteza ndoa yako usipojitazama vizuri.Mkuu mkabidhi familia yako akuletee maendeleo na siyo kujifanya msemaji wa watanzania
Kwenye mgao alikula 3billion
Kesho UTASIKIA BIBI BOMBA ANAJIUZULUUU...
Kesho kutwa Hawa Ghasia ataondolewa na Rais ktk baraza jipya la mawaziri...!!!
Ijumaa ndio makubwa tutasikia....stay tuned, hii nchi hii....!!! Weziiiii watupu...!!
Dua la kuku?:confused2:.......................Tafadhali sana Mh.Rais katika mabadiliko utakayofanya umuache Muhongo katika wizara hiyo hiyo, ili atunyoshee kile kikundi cha T P S F wakiongozwa na yule babu anayemuowa mjukuu wake.....kamwe hatuwezi kukubali mabebari wachache wawe madalali wa gesi....hiyo ni hapana hapana.......natumaini ombi langu limesikilizwa......