The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Inasikitisha sana kuona bila aibu watu wanaiunga mkono CCM pamoja na madudu yote wanayoyafanya yaani kama ingekuwa mnafanya hivyo mtaani hakika mngepigwa na wananchi..pumbavu zenu.
Laiti kama mimi ningekuwa Kafulila, ningeendelea kuji-nicknamed "TUMBILI" maana tumeona kazi ya so called Tumbili.
Jaji Werema alikwishakustaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria tangu tarehe 30 October 2014... hii ya kujiuzulu ni changa la macho tu..
Laiti kama mimi ningekuwa Kafulila, ningeendelea kuji-nicknamed "TUMBILI" maana tumeona kazi ya so called Tumbili.
Jaji Werema alikwishakustaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria tangu tarehe 30 October 2014... hii ya kujiuzulu ni changa la macho tu..
Kuna kitu kimenisikitisha sana baada ya kumuona kijana asubuhi hii tena katikati ya mji wa Dar es Salaam akiwa anasoma gazeti la Mwananchi. Alikuwa akimuuliza mwenzake baada ya kuona habari ya 'Escrow yamng'oa werema' kuwa "kwani Werema ni nani!?".Mhhhhh Werema kakurupuka kujiuzulu. Kwa mtanzania ufisadi sio issue ndio maana mnaona CCM imeendelea kupeta serikali za mitaa pamoja na kashfa kubwa ya Escrow. Watanzania bado hawajitambui.
kuna kitu kimenisikitisha sana baada ya kumuona kijana asubuhi hii tena katikati ya mji wa dar es salaam akiwa anasoma gazeti la mwananchi. Alikuwa akimuuliza mwenzake baada ya kuona habari ya 'escrow yamng'oa werema' kuwa "kwani werema ni nani!?".
Ndio nikajiuliza kuwa kama mtu yuko mji mkuu wa nchi na hamjui mtu aliyesababishia taifa hasara kubwa vile hao wa tunduru itakuwaje!?
Baadae moyoni ndio nikajua watanzania tumelala sana na inahitajika mobilisation ya hali ya juu ili tukae kwenye mstari.
Weka graph hapa na jumla ya kura.
Huyu jamaaa na wenzake wanatakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya dola.
Kuna wapuuzi fulani humu wanajiita wasomi sijui watasemaje baada ya kutetea wezi.
Bado Waziri na Katibu Mkuu wake.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
Mhhhhh Werema kakurupuka kujiuzulu. Kwa mtanzania ufisadi sio issue ndio maana mnaona CCM imeendelea kupeta serikali za mitaa pamoja na kashfa kubwa ya Escrow. Watanzania bado hawajitambui.
tunashindwa kuelewa kwa nini Ag amejiuzulu,ni kwa sababu ya ushauri wake, hata ripoti ya CAG n PAC haijamtaja kuchukua pesa, atarudisha pesa ipi, mshahara aliyokuwa akilipwa?