Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,326
- 111,499
Nilitarajia kwa kashfa kubwa kama escrow watu wanaojitambua wangeamua kuipiga chini ccm kwenye uchaguzi (mfano ingepaswa iwe UKAWA kashinda kwa silimia 97 na ccm 3%) lakini si umeona matokeo mwenyewe?
Nani anaandaa uchaguzi wa serikali za mtaa?