mkachu
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 136
- 42
Source ITV. Werema kaamua kujihudhuru mwenyewe.
Ajihudhuru = Ajihuzulu
Source ITV. Werema kaamua kujihudhuru mwenyewe.
Taarifa ya habari ITV...........
At 60yrs ni kustaafu au kujiuzulu :drama::drama::msela:Yap amewajibika!!
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
Tune Radio One muda huu.
Na rais amekubali na amesema. Werema amechafua hali ya hewa.........
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
Kazi ipo. Tibaijuka bado katulia tu na 1.6b