Android 00
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 774
- 226
Ndio escrow sakata lake limeisha baada ya kujitoa muhanga huyu fisadi, na alikua anaonyesha dalili za kubeba misalaba ya wengine tangu kule bungeni.
Tunasubiri kufunguliwa kwa kesi yenye majibu mahsusi sio ya kutokua na ushahidi ambazo mahakama siziominika ndio vigezo vyao wanavotumia na watuhumiwa wanaachiwa huru.