Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Tumbili kaamua kujiuzulu....Sasa Watanzania tumemjua nani ni tumbili na nani ni muongo
 
Mwizi mkubwa ni kikwete na familia yake. Hawa wengine basi tu collateral damage.
 
Kujiuzulu kwake leo kunatoa mashaka. Je ni kwa nini amechuku muda mrefu hivyo kujiuzulu, je anataka tuamini leo hii ndiyo amefahamu kuwa alifanya makosa? au aliendelea kuwepo kwa ofisi ili kuficha baadhi ya mafile ambayo siyo masafi? wakati PAC walipowasilisha hoja yao, yeye alisimama na kusema bado anasimamia uamuzi wake, leo ni week mbili tangu atowe msimamo huo bungeni nini kimemfanya ambadilishe msimamo huo? Inanipa mashaka, huenda ikawa ni mbinu za kuwasafisha wengine waonekane hawakuwa na makosa ila makosa yote yalitokana na AG.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Bado anaishi uraiani au wamemhifadhi Segerea?
 
Hiyo bila shaka atakuwa ametekeleza maelekezo aliyopewa na JK.
 
Huo ni mchezo wa kuwatakasa wenzake...na alilijua hilo ndo maana bungeni aliwaambia wabunge wahangaike na yeye...hamuoni hapo kuna deal inafanyika la kurescue wengine.
That is true, hebu tusubiri tuone mwisho wa hii movie utakuwaje.
 
Habari za uhakika ni kwamba jakaya kikwete ndiye kiongozi wa wizi wa mali za uma zikiwemo fedha za escrow. Hao aliwapanga il wamsaidie kutimiza mpango huu wa escrow. Account zilizokwiba fedha kupitia bank ya stanbic ni za Kikwete, Mama Kikwete/Babu Seya, na familia ya kikwete. Hili jamaa ni jizi na halina uwezo wa kukemea wala kuchukua hatua dhidi ya majizi wenziye. Ndiyo maama bungeni kla wakati waliokuwa upande wa majambazi haya, walifurahia sana mjadala ulipokuwa ukielekea kumwachia kikwete aamue n ini cha kufanya. Walijua ni jambazi mwenzao na huko ndiko watakwenda kuuguzwa majeraha na kupata ulinzi sahihi.

Yeyote anayebisha, ajibu swali. Kwa nini Accounts za Stanbic hazifuatiliwi na sasa kikwete huyo huyo anawaita majambazi kwamba ni waadilifu na waaminifu? Huyu mtu ni mwehu. Kama kikwete hahusiki, akubali iundwe tume huru ya kimataifa ifuatilie fedha zilizobebwa kutoka Stanbic kama hajatembea uchi wa mnyama.

Hii ndiyo maana mahala pengine watu huchoka kufanywa wajinga na matawala majuha na madanganyifu huku ya kilindwa na katiba na kuamua kuachana na protocol za katiba na kuchukua kuyawajibisha kwa njia za mikato.

Kikwete anstahili adhabu ya njia za mikato ili wapum.bavu wengine wanaodhan Tanzania ni shamba la bibi wajifunze adabu.

NaniniBaraka mimi nakuunga mkono kabisa. Mimi niliwahikusema kazini kwangu tokea ile issue ya EPA nikasema uwezo wa kikwete ni mdogo sana kuongoza taifa. Yaani uwezo wake wa kuchambua mambo hata binti yangu aliyoko darasa la tatu anamzidi mbali huyu jamaa. Kwa sababu kwa kiongozi mwenye kufikiria kwa kutumia kichwa chake hawzi kuthubutu kumpongeza mwizi aliyesababisha hasara kubwa hivyo kwa taifa. Labda huyu kikwete hatumii kichwa kufikiri. Haiwezi kumuuingia akilini mtu yeyote mwenye akili timamu kwa wizi uliofanywa na hawa wapuuzi kuona kiongozi wa nchi unatoa sifa kuwa alikuwa mwadilifu. Vipi kipimo cha uadilifu kwa kikwete ni kipi?
Kwa mtindo huu hawa viongozi wetu wanajenga radicals katika jamii biala wao kujua. Kwa mtu yeyote anayeumizwa na vitendo hivi vya viongozi kujitwalia mali za umma halafu wanalindana namna. Vijana wakiamka itakuwa kama tunavyoona Syria, Pakistan ambako watu wanajitoa muanga.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
Kilichoniacha hoi ni hiyo comment ya mwisho kwenye taarifa ya JK, kuwa "Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu"

Is that true Mr President?!
 
Halafu kiranja wao, jambazi mkuu jakaya kikwete anawaita waaminifu na waadilfu. Pumba.vu kabisa hili jamaa. halifai hata kuwa baba wa watoto wake!. Linahitaji kushikishwa adabu kwa njia za mikato.

Huo ni mchezo wa kuwatakasa wenzake...na alilijua hilo ndo maana bungeni aliwaambia wabunge wahangaike na yeye...hamuoni hapo kuna deal inafanyika la kurescue wengine.
 
Habari za uhakika ni kwamba jakaya kikwete ndiye kiongozi wa wizi wa mali za uma zikiwemo fedha za escrow. Hao aliwapanga il wamsaidie kutimiza mpango huu wa escrow. Account zilizokwiba fedha kupitia bank ya stanbic ni za Kikwete, Mama Kikwete/Babu Seya, na familia ya kikwete. Hili jamaa ni jizi na halina uwezo wa kukemea wala kuchukua hatua dhidi ya majizi wenziye. Ndiyo maama bungeni kla wakati waliokuwa upande wa majambazi haya, walifurahia sana mjadala ulipokuwa ukielekea kumwachia kikwete aamue n ini cha kufanya. Walijua ni jambazi mwenzao na huko ndiko watakwenda kuuguzwa majeraha na kupata ulinzi sahihi.

Yeyote anayebisha, ajibu swali. Kwa nini Accounts za Stanbic hazifuatiliwi na sasa kikwete huyo huyo anawaita majambazi kwamba ni waadilifu na waaminifu? Huyu mtu ni mwehu. Kama kikwete hahusiki, akubali iundwe tume huru ya kimataifa ifuatilie fedha zilizobebwa kutoka Stanbic kama hajatembea uchi wa mnyama.

Hii ndiyo maana mahala pengine watu huchoka kufanywa wajinga na matawala majuha na madanganyifu huku ya kilindwa na katiba na kuamua kuachana na protocol za katiba na kuchukua kuyawajibisha kwa njia za mikato.

Kikwete anstahili adhabu ya njia za mikato ili wapum.bavu wengine wanaodhan Tanzania ni shamba la bibi wajifunze adabu.
What you have said is absolutely true for almost 100%
 
Na kwa kulitambua hilo kuwa JK ndiye kinara wa ufisadi wote mkubwa unaofanyika hapa nchini, wananchi wameanza kutoa kichapo kikali kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Funga kazi itakuwa kura za maoni ya katiba ya Sitta na swahiba wake mzee wa vijisenti, na tsunami yenyewe hasa itakuja kwenye uchaguzi mkuu mwakani.
 
Wasukuma wanasema 'kache mna dog (English)'. Aende zake kabisa tena akafilie mbali huko; wezi wakubwa hawa.
 
unajua patience kuna kipingi haiwezi tena kuwa stretched? Haya majizi hayaishii kwenye fedha tu. Yanaiba hata kura tunazopiga, yanalazimisha utawala kwa ktumia polisi na kama sasa yamewaengua wagombea wengi wa upinzani kwa mapingamizi fake na hakuna mtu wala chombo cha kuyakemea.

Dawa yake, ni kuyaondoa bila protocol nchi nzima, tuunde mfumo wetu sahihi na hii nidyo njia ya kuleta heshima kwa neno wananchi. Kikwete na majambazi wenzake wameonyesha dharau kubwa sana kwa watanzania. Protocol za kura na katiba zinakuwa abused na zinakanyagwa. Lilopo ni sisi kukubaliana mchakato ambao haujawahi kufanywa duniani popote wa kuyaondolea mbali haya majizi. Tuko Tanzania nzima na tunaweza kulifanya zoezi hili kwa muda wa masaa 6 tu ndani ya siku moja.

Kikubwa, tuongee na mwamnyange.

Your absolutely right sir.
 
Laiti kama mimi ningekuwa Kafulila, ningeendelea kuji-nicknamed "TUMBILI" maana tumeona kazi ya so called Tumbili.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

Amechelewa sana.
 
Back
Top Bottom