Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Nukuu "Peresedor kamshukuru jaji kwa utumishi wake ulioongozwa na UAMINIFU NA UADILIFU" mwisho wa kunukuu...

Asee haya mambo yanawezekana tz pekee, mean kuwa maelekezo yote yalitoka juu na kutafsirika tofauti, ki ukweli kuna viongozi walisha wafanya watz kama mashabiki wa ngoma...

Hyo kauli haikupaswa kutolewa na mkuu wa kaya kama yy, means anataka kutuambia kuwa asinge jiuzuru ikulu isingemuajibisha??

Tanzania bila ........ inawezekana.

Lazima Amshukuru kwani escrow imesaidia watu Kusahau Katiba pia akina Warioba na makongamano yao yamesahaulika, hata Lundenga anapumua sasa watu wamesahau juu ya miss Tz aliyejiuzulu, Werema amesaidia sana kuwasahaulisha watu juu ya Katiba lakini kosa alilofanya hakumpa Ganjia mwenzake Samweli Sita ambaye inasemekana ndiye aliibua hili sakata la IPTL
 
haisadii kuiokoa ccm maadamu Rais Kikwete hakuzingatia siku tulizompa sisi kina gogo la shamba
 
Kuchafua hali ya hewa akiwa na maana kuwa kajamba au ?
 
Lazima Amshukuru kwani escrow imesaidia watu Kusahau Katiba pia akina Warioba na makongamano yao yamesahaulika, hata Lundenga anapumua sasa watu wamesahau juu ya miss Tz aliyejiuzulu, Werema amesaidia sana kuwasahaulisha watu juu ya Katiba lakini kosa alilofanya hakumpa Ganjia mwenzake Samweli Sita ambaye inasemekana ndiye aliibua hili sakata la IPTL

Sitta kaibua sakata la escrow?
 
Amuombe radhi Kafulila kwa kumwita tumbili wakati yeye mura ndiye NYANI.
 
Hongera mwandishi wa "KIVULI KINAISHI" uliyoandika yanasadifu na yaliyopo sasa.
 
Jk na AG wameongea wee mwishowe wamekubaliana AG kuliko ampige chini kutokana na upepo bora ajifanye amejiengua ili impe nafasi JK kuteua mtu mwingine na baadae avunje baraza. Jk hatakagi kumkwaza mtu kimaamuzi hata kama kaboronga,,huu ni udhaifu wa taasisi ya raisi.
 
NaniniBaraka mimi nakuunga mkono kabisa. Mimi niliwahikusema kazini kwangu tokea ile issue ya EPA nikasema uwezo wa kikwete ni mdogo sana kuongoza taifa. Yaani uwezo wake wa kuchambua mambo hata binti yangu aliyoko darasa la tatu anamzidi mbali huyu jamaa. Kwa sababu kwa kiongozi mwenye kufikiria kwa kutumia kichwa chake hawzi kuthubutu kumpongeza mwizi aliyesababisha hasara kubwa hivyo kwa taifa. Labda huyu kikwete hatumii kichwa kufikiri. Haiwezi kumuuingia akilini mtu yeyote mwenye akili timamu kwa wizi uliofanywa na hawa wapuuzi kuona kiongozi wa nchi unatoa sifa kuwa alikuwa mwadilifu. Vipi kipimo cha uadilifu kwa kikwete ni kipi?
Kwa mtindo huu hawa viongozi wetu wanajenga radicals katika jamii biala wao kujua. Kwa mtu yeyote anayeumizwa na vitendo hivi vya viongozi kujitwalia mali za umma halafu wanalindana namna. Vijana wakiamka itakuwa kama tunavyoona Syria, Pakistan ambako watu wanajitoa muanga.

Huwezi kumlaum sana Mh. Rais
kumpongeza kwa uaminifu na uadilifu ni kama sifa za marehem tu.
Je! Ni busara Rais kusema "amekubali kujiuzulu kwa AG na kumalizia kwa kumlaum in public kwa utendaji kazi mbovu?
Tunachokikosa hapa "
"NI COMMON SENSE"
 
Nadhani hili anguko la CCM kwenye uchaguzi wa wenyeviti na wajumbe wa Serikali za Mitaa ndo limemfanya aamini kwamba kashfa ya Escrow halikuwa upepo tu ambao utapita, akaona kabla hajaanza kulaumiwa kwa kuiponza CCM, akachomoka.
Ova
 
inaelekea wewe umekariri na kuamini kile ulichokariri pekee! Jaribu kubalance pande zote usiishi kwa kukariri kuwa Kafulila katokea Mbinguni kaja kuibua hayo pekee, jaribu kujiuliza iweje Kafulila amkomalie sana Mhongo pekee wakati kuna Wizara Tatu zimehusika? Kumbuka Kafulila si Mungu wala Mengi aliyemtuma si mungu nao wanapaswa kujadiliwa pia.

Siyo lazima uchangie kila mada kama huna cha kuchangia kaa kimya wewe mama fisi maji
 
Umeonyesha njia wengine wafuate. Mrudishe hela na mshitakiwe
 
source:channel 10
rais amemshukuru kwa uadioifu upi wakati kilichosababisha kujiuzuru ni kusababishia taifa upotevu wa mabilioni ya fedha? Kumbe rais hajaona hilo.hata hivyo afikishwe mahakamani kujibu mashtaka ya kutumia vibaya madaraka.
 
Tafadhali sana Mh.Rais katika mabadiliko utakayofanya umuache Muhongo katika wizara hiyo hiyo, ili atunyoshee kile kikundi cha T P S F wakiongozwa na yule babu anayemuowa mjukuu wake.....kamwe hatuwezi kukubali mabebari wachache wawe madalali wa gesi....hiyo ni hapana hapana.......natumaini ombi langu limesikilizwa......

Ocampo4,hapa sasa ndo unakosea ushabiki na utetezi S.mhongo umepetiliza ata ukimtetea jamaa alijivua nguo mwenyewe bungeni na ripoti yake ya utetezi dhidi ya ujuma zao,wamejipaka m-avi wenyewe sasa kwa huyu mwenzie tata mura kujitoa "gamba" unataka ushahi upi sasa ili uamini kwamba hafai tena kwenye hyo sekta?,alafu suala la mh.Mengi kuoa watoto wabichi anaprove kwamba yeye ni kidume husilazimishe aoe "bibibomba"toka kwenye ukoo wenu.Tulia unyolewe kijakazi wa mafsadi wewe.
 
Nadhani hili anguko la CCM kwenye uchaguzi wa wenyeviti na wajumbe wa Serikali za Mitaa ndo limemfanya aamini kwamba kashfa ya Escrow halikuwa upepo tu ambao utapita, akaona kabla hajaanza kulaumiwa kwa kuiponza CCM, akachomoka.
Ova

Hahah leo Nape amesema wameshinda kwa 84% mpk sasa hiv mkuu!!
 
Huwezi kumlaum sana Mh. Rais
kumpongeza kwa uaminifu na uadilifu ni kama sifa za marehem tu.
Je! Ni busara Rais kusema "amekubali kujiuzulu kwa AG na kumalizia kwa kumlaum in public kwa utendaji kazi mbovu?
Tunachokikosa hapa "
"NI COMMON SENSE"

Kwa kweli tuna dhaifu. Kwanini akubali ajiuzulu badala ya kukataa alafu amfukuze kazi? Kumpongeza mwizi au kwa kuwa wote wanaelea kwenye boat moja? Maajabu ya bongo. Inaniuzi mno.
 
Ccm wameshinda kwa 84% -42% za mapingamizi. Sehemu zote ambapo uchaguzi uliahirishwa na kuanza kufanyika leo ukawa wanashinda. Inadhihirisha bila mapingamizi ushindi unaonyesha ccm kilivyokataliwa
 
Huo ni mchezo wa kuwatakasa wenzake...na alilijua hilo ndo maana bungeni aliwaambia wabunge wahangaike na yeye...hamuoni hapo kuna deal inafanyika la kurescue wengine.
 
Back
Top Bottom