Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

habari hizi zimetangazwa leo hii na kituo cha TV vha STAR TV . tunashukur kwa jambo hilo na tunaamini Prof naye atatumia busara.
 
Hadi siku ya mwisho wa bunge bado aliyekuwa AG alikuwa anasema fedha za escrow si za umma
 

Wabongo bhana!! Mtu ameshastaafu kwa mujibu wa sheria leo ndo mnapumbazwa nanyi mnapumbazika na kushangilia halafu mnajiita GTs.Kweli?
 
wE WANT WEREMA IN JAIL

WP_000792.jpg
 
Mpaka JK asikie Weridi benki wamekata msaada wao, Mileniamu chalenji na Yuropiani yuniyuni wamekata msaada ndio anakumbuka shuka asubuhi kumwambia AG aandike barua yakujihudhuru??? Kufuatia kiburi namajibu ya nyodo aliyokuwanayo AG bungeni wakati wa mjadala wabunge ni wazi kabisa kajihudhuru kwa kushinikizwa na aliyempa kazi.
 
Na rais amekubali na amesema. Werema amechafua hali ya hewa.........

hahahaha wale waliokuwa wanamtetea muhongo humu watie maji. Werema amelinda heshima yake kwa kujiuzuru ila hao wengine wanaosubiria watapigiwa simu waridushe V8.
 
..... Nasikia mda wake wa kustaafu ulikuwa umeshafika tangu novemba. Ametuzuga eti amejiuzulu. Akamatwe mara moja.!
 
Mr Dhaifu ni Rais wa hovyo kabisa na ni dhaifu kuliko hata keki , yaani hana ubavu wa kuwawajibisha wezi wenzake anasubiria usanii wa kujiuzulu na kusifiana kipuuzi puuzi.
Nazidi kumdharau sana.
 
Huyu JK ama ana tatizo au ndiyo anataka kufikisha ujumbe kuwa hilo lilikuwa deal la ikulu
 
Back
Top Bottom