Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Jaji Werema alikwishakustaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria tangu tarehe 30 October 2014... hii ya kujiuzulu ni changa la macho tu..
 
Hakika werema hatomsahau Kafulila na PAC ya Zitto na Deo.

Huko ni kusepa sio kujiuzulu. Pesa za Umma karejesha? Mwigulu tunakuaminia ulitoa deadline hadi tar 31/12/2014. Zimebaki wiki2 tu Umma wa watanzania usikie habar njema toka kwako. Habar itakayowarejeshea furaha na Aman ya pesa zao zilizonyagwa kiujanja ujanja
 
Unaweza kusema viongozi tulionao hawapo kuwatumikia wananchi bali kujinufaisha wao wenyewe, ikitokea mmoja wao kashtukiwa na umma na kujiuzuru, wenzao humsifia na kumshukuru kwa utumishi bora na uadilifu.....Hapa, najisikia vibaya sana. iweje mtu aliyesababisha hasara kubwa kama kwenye mchezo wa ESCROW, anapojiuzuru anasifiwa kwa uadilifu? ni uadilifu upi hapo unaozungumzwa? kwanini hatujifunzi kwa wenzetu kusema ukweli, kama kaharibu aambiwe ukweli. nilitegemea kwa mtu kama AG anapojiuzuru, unakubali ila pia unamwambia anataka kuwajibika kwa matendo yake, na hii nizidi ya kuvua cheo pekee bali vyombo vingine vimchukulie hatua zaidi. kwa maoni yangu kusifiana wakati mtu katuingizia hasara, ni utamaduni usiofaa kabisa. tatizo letu tunaoneana aibu mno, au labda katika madili hayo wamepiga wote, sasa inakuwa vigumu kuwajibishana. THIS IS MY CONCLUSION, "YANAMWISHO HAYA"

Do they even know the meaning of "uadilifu?" This is extremely sad! Watu wengine wanakera sana
 
Jk na AG wameongea wee mwishowe wamekubaliana AG kuliko ampige chini kutokana na upepo bora ajifanye amejiengua ili impe nafasi JK kuteua mtu mwingine na baadae avunje baraza. Jk hatakagi kumkwaza mtu kimaamuzi hata kama kaboronga,,huu ni udhaifu wa taasisi ya raisi.

Hatuna raisi pale Magogoni!!! Ni ----- mtupu bora hata uchukue mtoto wa form one umuweke pale atafanya maamuzi ya busara kuliko lile dafu la chalinze
 
unajua patience kuna kipingi haiwezi tena kuwa stretched? Haya majizi hayaishii kwenye fedha tu. Yanaiba hata kura tunazopiga, yanalazimisha utawala kwa ktumia polisi na kama sasa yamewaengua wagombea wengi wa upinzani kwa mapingamizi fake na hakuna mtu wala chombo cha kuyakemea.

Dawa yake, ni kuyaondoa bila protocol nchi nzima, tuunde mfumo wetu sahihi na hii nidyo njia ya kuleta heshima kwa neno wananchi. Kikwete na majambazi wenzake wameonyesha dharau kubwa sana kwa watanzania. Protocol za kura na katiba zinakuwa abused na zinakanyagwa. Lilopo ni sisi kukubaliana mchakato ambao haujawahi kufanywa duniani popote wa kuyaondolea mbali haya majizi. Tuko Tanzania nzima na tunaweza kulifanya zoezi hili kwa muda wa masaa 6 tu ndani ya siku moja.

Kikubwa, tuongee na mwamnyange.

Tatizo ni kuwa Mwamunyange wameshampetipeti we mpaka hawezi kufungua mdomo, hili chezo labda lipigwe na wajeda wengine wamtulize Mwamunyange then wakafanye yakwetu pale feri, seriously I have never been morbid lakini hii hali inakera jamani
 
Werema umetuangusha kweli wana escrow kwani sie huku tulishafanya tathmini watanzania asilimia 85 wanatuunga mkono na wanasema sisi hatuwezi chagua vyama ambavyo hata nembo ya chao inawasuta kwa kuweka vidole viwili hivi vidole viwili unaweza chukua hela ukashika na vidole viwili hata hao asilimia kumi na tano wanaounga mkono hicho chama ukiwapeleka kwa singasinga hawatapata hata kazi ya kusugua sufuria kwani vidole viwili ni shida sio watu wa kazi
 
Majitu mengine bana.....

Ameclear deal zote mbaya ambazo zilikuwa kwenye pipe yake ofisini kwake ili deal zingine zifanikiwe na kusign feki contract ndo eti anajiudhuru....

Ovyooooo kabisa
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu. 👆👆👆 ITV
 
Habari za uhakika ni kwamba jakaya kikwete ndiye kiongozi wa wizi wa mali za uma zikiwemo fedha za escrow. Hao aliwapanga il wamsaidie kutimiza mpango huu wa escrow. Account zilizokwiba fedha kupitia bank ya stanbic ni za Kikwete, Mama Kikwete/Babu Seya, na familia ya kikwete. Hili jamaa ni jizi na halina uwezo wa kukemea wala kuchukua hatua dhidi ya majizi wenziye. Ndiyo maama bungeni kla wakati waliokuwa upande wa majambazi haya, walifurahia sana mjadala ulipokuwa ukielekea kumwachia kikwete aamue n ini cha kufanya. Walijua ni jambazi mwenzao na huko ndiko watakwenda kuuguzwa majeraha na kupata ulinzi sahihi.

Yeyote anayebisha, ajibu swali. Kwa nini Accounts za Stanbic hazifuatiliwi na sasa kikwete huyo huyo anawaita majambazi kwamba ni waadilifu na waaminifu? Huyu mtu ni mwehu. Kama kikwete hahusiki, akubali iundwe tume huru ya kimataifa ifuatilie fedha zilizobebwa kutoka Stanbic kama hajatembea uchi wa mnyama.

Hii ndiyo maana mahala pengine watu huchoka kufanywa wajinga na matawala majuha na madanganyifu huku ya kilindwa na katiba na kuamua kuachana na protocol za katiba na kuchukua kuyawajibisha kwa njia za mikato.

Kikwete anstahili adhabu ya njia za mikato ili wapum.bavu wengine wanaodhan Tanzania ni shamba la bibi wajifunze adabu.

Kwa style hii ya Rais, wezi hawataisha kwenye serikali ya CCM. Kama mtu aliyesababisha hasara kwa taifa anasifiwa na Rais eti ni muadilifu kwa kweli inaniuma sana. Inanichochea na mimi niwe mwizi wa mali za umma ili siku moja na mimi nifiwe na Rais. Kama ni kukosea kuchagua Rais,hapa Watanzania ndio inabidi na sisi tuwajibike, sijawahi kuona wala kusikia Rais anasifia wezi kama Rais wetu.
 
Tatizo ni kuwa Mwamunyange wameshampetipeti we mpaka hawezi kufungua mdomo, hili chezo labda lipigwe na wajeda wengine wamtulize Mwamunyange then wakafanye yakwetu pale feri, seriously I have never been morbid lakini hii hali inakera jamani

Mwamunyange ni kada mtiifu wa chama...
 
Rais ajiuzulu haraka kwa kauli yake.
Hatuwezi kuwa na rais wa asiyemwadilifu

Ameniudhi sana nashawishika kusema hata yeye anahisika kwahiyo anashindwa kuwawajibisha hawa tumbili sasa kafulila zito na wote walioshirikiana kuwaangusha hawa ngedere wafanye hima wawapandiahe kizimbani naamini inawezekana
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

Kulikoni.. si alitoa shuhuda kuwa hela si za serikali imekuwaje tena? Nchi kukosa leadership ni sheedah...
 
Tupange tu namna ya kusema na wale wengine ili wamtulize mwanyange kama amekuwa mjinga, wakati zoezi likiendelea. Kama ni wao tuwape support ama ni sisi watupe support.
Kwa nchi yetu ilivyo nakuambia haichukui zaidi ya siku moja, siku ya pili tuko kwenye daraja safi la kuelekea nyumbani.



Tatizo ni kuwa Mwamunyange wameshampetipeti we mpaka hawezi kufungua mdomo, hili chezo labda lipigwe na wajeda wengine wamtulize Mwamunyange then wakafanye yakwetu pale feri, seriously I have never been morbid lakini hii hali inakera jamani
 
Back
Top Bottom