Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

yes na hakuna sababu ya kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa. Hii kashfa ya ESCROW ni karanga tu za kuonjeshwa, Jaji kafanya kazi nzuri tumpongeze kwa hatua aliyochukua na tumtakie kila la heri katika maisha yake mapya.

Alie mteua karidhika kuwa kavurunda mpita njia unampaka rangi ang'ae. Hujisikii vibaya???
 
namshukuru kwa uaminifu na uadilifu wake....hii sentes pekee inaongea mambo mengi sana coz km kiongoz huwez mshukuru mtu ambae kwa makosa yake ameliingiza taifa hasara..huwez mshukuru hta kidogo unless Atuambie labda
1. Alikosa sentesi ya kumalizia au nae Anaamini AG hana makosa kitu kinachonipa mashaka kama nae hakushiriki hii deal...
Bt huwez mshukuru mwiz hta cku 1..na ukimshukuru tunapata maswali mengi ambae unatakiwa uyajibu...over
 
Afunguliwe mashtaka na asiruhusiwe kutoka nje ya nchi mpaka arudishe hela zetu
 
Afunguliwe mashtaka na asiruhusiwe kutoka nje ya nchi mpaka arudishe hela zetu
tunashindwa kuelewa kwa nini Ag amejiuzulu,ni kwa sababu ya ushauri wake, hata ripoti ya CAG n PAC haijamtaja kuchukua pesa, atarudisha pesa ipi, mshahara aliyokuwa akilipwa?
 
Baada ya Werema Isa atateuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali,ndo imekuwa trend...baada ya Kitilya - Rished Bade,baada ya Utouh,Abbas,baada ya Augustine Ramadhani,Othman
 
Baada ya Werema Isa atateuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali,ndo imekuwa trend...baada ya Kitilya - Rished Bade,baada ya Utouh,Abbas,baada ya Augustine Ramadhani,Othman

kama mmempiga vita mkiristo mwenzenu, rais afanyeje sasa?
 
Duh kumbe.......... hatua zaidi zichukuliwe sio kujiuzulu wakati washapiga pesa ndefu
 
Ukijifanya kichwa ngumu, na usubiri ili uone madhara yake,J.Kikwete ana kichwa kigumu sana,eti wanawapima wananchi wanadhan bado ni mambulula,wameona mziki wa serikali za mitaa,na wamegundua hatua zisipochukuliwa watatolewa nundu,JK amemwambia Werema hebu anzeni kuachia ngazi hali imeshakua mbaya sana.CCM tumesha wapima kiasi cha kutosha na tumejua kikamilifu pasipo shaka Kuwa Rais anapenda sana mizaha ktk mambo ya msingi.mmewageuza Watanzania Kuwa Comedy yenu.Sasa watanzania kwa umoja wetu tumeamua hii ni ALUTA CONTINUE kurudi nyuma mwiko.Tuliwaambiwa katiba mnayotengeneza sio ya wananchi hamkusikia huku mvimba macho Samweli Sitta anajifanya ana msimamo ALAFU mbaya zaidi wanatuwekea mwizi Kuwa mwandishi wa KATIBA YETU, hivi Rais na watu wake wameshasahau kabisa kuwaheshimu WATANZANIA?Rais anawanatoza wananchi pesa za maabara ili tu kuwa aminisha kuwa serikali Haina pesa Alafu mlango wa nyuma anagawana pesa na wenzake. hii sio siri WATANZANIA tumeumia sana.MADAWA hakuna mahospitalini ninyi mnagawana FEDHA za WANUKA JASHO MASKINI WA TANZANIA.Sasa tumejua rasmi HII SIO SERIKALI SIKIVU na Dawa yake ni kuiondoa kama walivyofanya WABUKINAFASO.
 
Back
Top Bottom