Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).
Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.
Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.
Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.
Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.
Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?
Niko na huzuni sana ndugu zangu.
Kama una uelewa usiruhusu kinyoz akunyoe bila ya kuisafisha mashine. Inatakiwa aisafishe kwa kutumia methylated spirit ya kutosha na brush pia kwa spirit ya kutosha hii njia inaua vvu na bacteria kwa 100% sio ile njia ya kuweka vifaa kwenye ile sterilizer haifai.Hii ya saluni ndio kila kukicha naiwaza,, siku nikipima nikakuta nna ngoma basi 99% saluni ndio itakuwa imehusika.
mkuu ndio maana nimesema inahitaji informal utafiti. kuna story nyingi sana za watoto sio kufanyishwa ngono tu bali hata kufanywa kinyume na maumbile.Hapana mkuu,miaka tisa ni mtoto mdogo,pia hiv si kwa ngono tu kuna njia nyingi
Pole sana Mkuu, kuna vitu kama kuchangia miswaki na sindano. Lakini pia unaweza kukuta mtoto sio wako unaweza kuonana na DNA test.Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).
Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.
Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.
Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.
Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.
Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?
Niko na huzuni sana ndugu zangu.
Ushauri wako ni upi mkuu???Ukimwanzishia ART ndio umeharakisha kifo chake...mahospitalini wagonjwa karibia 99% wenye advanced AIDS wapo kwenye ART for years wengi utakuta miaka 5 hadi 10 wakati incubation period ya HIV tunaambiwa ni 10 years ndio mtu anapata AIDS hapo bila kutumia ART lakini uchunguzi wangu binafsi Inaonyesha wagonjwa wenye so called HIV wanakufa mapema baada ya kuanzishiwa ART
My point..ARV kills people While HIV is an innocent
AIDS is real, HIV is hoaxImani yangu mimi ni kuwa mkiambiwa UKIMWI hausababishwi na HIV hamuamini. HIV haipo. UKIWMI upo. UKIMWI hausababishwi na HIV. AIDS is a hoax.
To live healthy life, balanced diet, clean & safe water...to avoid frequently use of antibiotics....Ushauri wako ni upi mkuu???
Acquired Immuno Deficiency Syndrome ni uongo. You cant acquire upungufu wa kinga mwilini. HIV is a hoax na AIDS ambalo ni zao HIV nao ni uongo. Ila UKIMWI ambao kiasili ni upungufu wa kinga mwilini upo na hausababishwi na HIV. Nafikiri umenielewa.AIDS is real, HIV is hoax
AIDS ipo mkuu na causes zipo nyingi moja wapo ni malnutrition...HIV/AIDS ndio uongo go & readAcquired Immuno Deficiency Syndrome ni uongo. You cant acquire upungufu wa kinga mwilini. HIV is a hoax na AIDS ambalo ni zao HIV nao ni uongo. Ila UKIMWI ambao kiasili ni upungufu wa kinga mwilini upo na hausababishwi na HIV. Nafikiri umenielewa.
Ingekuwa nipo tz Mimi ninao mwingi tu unga ningelimpatia.Naandika huku natetemeka kwa huzuni na uchungu
naelewa jinsi mlivyo sasa hivi poleni sana wazazi, pole kwa baby darling, she is too young to suffer like that,
She needs you guys more than ever plz msimnyanyape wala ndugu zake wasimbague.
Ooh poor innocent soul, wish ningekua hapo nikampa tight hug.
Guess what big bro, the kid will be fine and healthy kama tu mkimuanzishia dozi ya majani ya mlonge na mbegu zake, Mlonge unapandisha cd4 haraka sana na hata kuponesha HIV kikubwa msiuache katika kila diet yake.
Nina ushuhuda wa Mlonge anza sasa utakuja kunambia.
Tengeneza unga wa lishe, utafanya asubuhi unampa kijiko cha chai cha unga wa majani ya mlonge changanya kwenye uji mpe anywe, jioni mpe unga wa mbegu za mlonge kijiko cha chai changanya kwa uji mpe anywe.
Utaleta mrejesho.
Pathetic Fool.Mambo yatakayo kufanya uwe VERIFIED instagram