Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,160
Hapana wala simfahamu Dr. Sebi ila nimejikuta napenda tiba za asili zaidi kuliko za kisayansi hivyo hua natumia muda mwingi kufanya Research mbali mbali na sijawahi kuangushwa na mimea hata siku moja.Bila shaka wewe ni mfuatiliaji wa tiba za Dr.Sebi. Big up!!.
Ukweli nikwamba kinachowaumiza na kuwapoteza wengi ni vidonge hatari vyenye sumu vya Arv's. Hivi vidonge baada ya kugundulika kwa lengo la kupambana na cancer wakavidirect kama anti retrovial drugs which is killing people more than AIDS itself. Halafu hawajali maan kampuni hizi big pharmas wanapata pesa mno.
"Let food be thy medicine and medicine be thy food"