Shughuli. Wanawake mnaitwa huku, atakaesoma aweke sahihi.
Shughuli. Wanawake mnaitwa huku, atakaesoma aweke sahihi.
hamna kijana....nilikuwa kistone washkaji wakawa wanalament kichizinkaona nije kutoa elimu huku ndugu........Ndugu vipi umekutana na Utok* nini? Mbona unalalamika namna hiyo?
kwa nini wasimaintain?????wengine ni uvivu tuu wa kujisafisha nyani....kuna mtu mjini anakosa maji kujisafishia?????Kwa jinsi hali ilivyo Tanzania ni vigumu sana ku maintain usafi wa hali ya juu.
na hzo pichu zenyewe ziwe zmekauka vzuri sio zenye unyevu unyevu.....tena zifuliwe vizuri bakteria zife..Pia mwanamke unatakiwa uwe unaipa vargina hewa, mfano usiku unaweza kulala bila pichu na nguo isiyokubana, na kama lazima uvae pichu then tumia zile za 100% cotton la sivyo unaweza kupata fungus na kukusababisha awful vargina smell.
kama hawabadili tabia wafanyweje?????tumechoka kuitwa itwa
daaaahhh.....wanateseka si kidogo aiseee...unaenda unakutana na mambo mazito ya ajabu...elimu kama hii ni ya muhimu..dah kila siku mnaleta kauli mbiu mpya na malalamiko kibao what's happening there jamani mzee Mtambuzi hebu fungua kituo cha tuition ya haya madude naona vijana wanateseka sana.Tafadhali ukifungua naomba kuwa bursar:confused2:
kwa nini wasimaintain?????wengine ni uvivu tuu wa kujisafisha nyani....kuna mtu mjini anakosa maji kujisafishia?????
daaaahhh.....wanateseka si kidogo aiseee...unaenda unakutana na mambo mazito ya ajabu...elimu kama hii ni ya muhimu..
Acheni kuparamia vichanga.
Unaujua uhaba wa maji mjini?