Mwanamke zingatia usafi.....

Hahaha, usikute umeenda mbagala charambe afu unasema mjini kuna shida ya maji, lol

hivi.maji yawe ya shida.kiasi cha kushindwa kuoga? Si bora kurudi bush kuoga mtoni? Ukikaa town ukashindwa kuafford kuoga na kunywa soda ni bora ukajipange upyaaa!

Mimi nilizungumzia usafi wa hali ya juu.

I'm not just talking about bare-bones hygiene.

Sijui umenielewa?
 
ha haaa,thanx......kwa sie ambao wanaume wetu huenda chumvini lzm uwe fresh kila idara aisee,unless ni soooo
 
hebu acha madongo basi.

Mie naoga maji ya kwenye kigaloni tu

Back
Top Bottom