Mwanamke zingatia usafi.....

Frankness

Member
Aug 24, 2011
66
13
jamani eeehh.....jifunzeni usafi na hasa hasa usafi wa sehemu special mwilini....wakati wa kuoga, jisafishe sana sehemu za marekani...tumia maji ya uvuguuvugu na ujichambishe.....sabuni nyingi si usafi,hakikisha unanawa na maji mpaka pale ambapo husikii tena utelezi utelezi....ikiwezekana ingiza kidole utoe uchafu ulioganda...punguza kutumia toilet paper ukikojoa, jitahidi kutumia babywipes...hali ya usafi ukeni humfurahisha hata na mpenzi wako wakati wa kujamiiana anapokuta upo katika hali ya usafi.....jifunze kuoga mara kwamara na kunyoa nywele za kwapa na chini huko, usafi wa mwili na wa nyumba yako kutambakisha na kumfurahisha mpenzi wako.....,,
 
Kwa jinsi hali ilivyo Tanzania ni vigumu sana ku maintain usafi wa hali ya juu.
 
Pia mwanamke unatakiwa uwe unaipa vargina hewa, mfano usiku unaweza kulala bila pichu na nguo isiyokubana, na kama lazima uvae pichu then tumia zile za 100% cotton la sivyo unaweza kupata fungus na kukusababisha awful vargina smell.
 
na hzo pichu zenyewe ziwe zmekauka vzuri sio zenye unyevu unyevu.....tena zifuliwe vizuri bakteria zife..
 
dah kila siku mnaleta kauli mbiu mpya na malalamiko kibao what's happening there jamani mzee Mtambuzi hebu fungua kituo cha tuition ya haya madude naona vijana wanateseka sana.Tafadhali ukifungua naomba kuwa bursar:confused2:
 
daaaahhh.....wanateseka si kidogo aiseee...unaenda unakutana na mambo mazito ya ajabu...elimu kama hii ni ya muhimu..
 
daaaahhh.....wanateseka si kidogo aiseee...unaenda unakutana na mambo mazito ya ajabu...elimu kama hii ni ya muhimu..

ukimkuta hivyo unampeleka bafuni kumwogesha na kumfundisha kwa vitendo kujisafisha believe me kesho utakuta mambo safi.
 
Hahaha, usikute umeenda mbagala charambe afu unasema mjini kuna shida ya maji, lol

hivi.maji yawe ya shida.kiasi cha kushindwa kuoga? Si bora kurudi bush kuoga mtoni? Ukikaa town ukashindwa kuafford kuoga na kunywa soda ni bora ukajipange upyaaa!
Unaujua uhaba wa maji mjini?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom