jamani eeehh.....jifunzeni usafi na hasa hasa usafi wa sehemu special mwilini....wakati wa kuoga, jisafishe sana sehemu za marekani...tumia maji ya uvuguuvugu na ujichambishe.....sabuni nyingi si usafi,hakikisha unanawa na maji mpaka pale ambapo husikii tena utelezi utelezi....ikiwezekana ingiza kidole utoe uchafu ulioganda...punguza kutumia toilet paper ukikojoa, jitahidi kutumia babywipes...hali ya usafi ukeni humfurahisha hata na mpenzi wako wakati wa kujamiiana anapokuta upo katika hali ya usafi.....jifunze kuoga mara kwamara na kunyoa nywele za kwapa na chini huko, usafi wa mwili na wa nyumba yako kutambakisha na kumfurahisha mpenzi wako.....,,