Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Dini zote na Mila zinamkandamiza mwanamke, tena bora hata huo uislamu umempa heshima mwanamke, labda na wewe useme uikristo umempa heshima ipi mwanamke?
Msiwe wepesi wa kushambulia imani za wengine kwa hisia zenu binafsi.
ok.kumbe ni kweli uislamu unamkandamiza mwanamke

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Mkuu huo ndiyo ukweli, Mimi huwa nataka zote zimwagikie ndani, sipendi mwanamke nimemaliza tu kumwaga halafu anaenda kunawa na kujifuta au zinamwagikia nje, hata mtu akitokea ghfla halafu anitoe sitoki mpaka nimwagie ndani
umeshatia mimba ngapi mpaka saizi?

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
naona unashindilia point ya mtoa maada

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
nini maoni yako kuhusu kitabu cha satanic verses cha yule muislamu mwenzenu wa iran

Hittin Blunts and Bustin Nuts
Fungulia uzi. Hapa mada ni nyengine kabisa.

Unaamini kuwa mama'ko ni chombo cha starehe tu kwa wanaume licha ya kukulea Kwa taabu na mashaka mpaka leo unaweza kuingia JF?
 
Fungulia uzi. Hapa mada ni nyengine kabisa.

Unaamini kuwa mama'ko ni chombo cha starehe tu kwa wanaume licha ya kukulea Kwa taabu na mashaka mpaka leo unaweza kuingia JF?
nini maana ya kuamini?? kama ni malezi hata baba pia anahangaika kulea watoto.vipi unapataje notification?? mimi sizipati kabisa.Faiza mimi na wewe ni watu tunaoheshimiana sana itabidi tukutane siku moja

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Sasa hapo inategemea tumekukuta katika Hali gan .so usidhani hela itatoka sawa sawa kwa kila mtu ..km ww n wa hovyo bhac jua utaliwa kimasihara tuu. ..
Sijasoma thread yako so najibu headline tu....

Na starehe siku zote ni gharama so muwe mnahonga kweli kweli, na mhonge kiroho safi.

One love
 
wanawake wote wanajiuza.wapo wanaojiuza barabarani na pia wapo hawa wa mitaani ambao wanataka uwalishe,uwalipie kodi uwanunulie nguo.mwanamke ambaye sio chombo cha starehe ni yule ambaye haombi hela.ova imeisha hiyo

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…