Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Wewe ....umesoma watoto mama Ntilie ndo ukaaamua kuja na ulevi wa mzee lomolomo.
 
Nami nimegundua..waleee!...hakuna dini inayowadharau wanawake km waislam sijui kwann!

Sio kweli huyu ameandika matamanio yake ya nafsi kwahiyo mumtuhumu yeye na sio dini yetu ya Uislam dini adhiim.

Najua hata upewe miaka kumi huwezi kuthibitisha kauli yako, kwahiyo si kila jambo uandike kaka mkubwa,unatakiwa kuwa mkweli kwa kauli.
 
Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.

Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.

Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.

Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.

Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?

Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.

Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mwanamke ni chombo cha kuitustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kidole chako cha 21 kinaongoza kichwa chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma thread yako so najibu headline tu....

Na starehe siku zote ni gharama so muwe mnahonga kweli kweli, na mhonge kiroho safi.
Hii ndjo point sasa.... Kwamba pesa ndio itakupa cha starehe kinachovutia u urudike kwa raha zako zote. Wanawake kweli chombo kizuri kwa starehe cha maingi ndalama
 
Back
Top Bottom