Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Umeandika ka kifupi sana makusudio yangu.

Big up Mkuu.

Wanaume wanatafuta pesa ili wamiliki wanawake.

Wakati huo huo na wanawake wanatafuta wanaume ili wamiliki pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo wanadamu ni wabishi sanaa hawataki kabisa kukubaliana na nature inavyotaka tuishi ,ndio maana leo hii kuna campaign za 50/50 tukidhani zinajenga kumbe kimsingi zinaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo nakuuliza kwa mujibu wa nani ukisema chombo cha starehe ati ni udhalilishaji ?

Kwani Mtu akisema "nimepata chuma hicho hatarii" akikusudia kumsifia mwanamke hapo mwanamke anakuwa chuma au chuma ni kama sifa ?

Mtu akisema "nimevuta jiko la ukweli" akikusudia mwanamke ameoa hapo mwanamke anakuwa jiko kweli au huo ni mfano wa sifa tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Napita tu
 
Mamaako alivyokuzaa na kukunyonyesha kazi yake ilikua ndio hiyohiyo starehe au

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...Kuna sehemu nilisoma kwa waislam....kunyonyesha mtoto siyo jukumu la lazima kwa mama mzazi....na akimnyonyesha mtoto huyo basi ana haki ya kudai malipo kutoka kwa baba mzazi

Sent using Beretta ARX 160
 
Mwanamke kiasili ameumbwa kwa ajili ya kumstarehesha,kumliwaza,kumfariji,kumshauri, kumpa kampani na kumzalia mwanaume, hayo mengine ni ziada.

Sema ulimwengu umeenda kinyume na alivyotaka mungu...Adamu aliumbwa peke YAKE lakini akawa mpweke ikabidi mungu amlete Hawa(EVA) kwa kumtoa katika ubavu wake wa kushoto.

Ujio wa EVA ulikuja kumliwaza Baba yetu ADAM kumstarehesha na kumzalia watoto ambacho ndiyo cha ulimwengu kuenea binaadamu kila mahali...Tukubali tukatae wanawake ni starehe ya mwanaume. Mpaka mwisho wa dunia mwanaume hawezi kupata utulivu katika maisha YAKE akimkosa mwanamke hata awe na hela vipi.

Mwanamke mmoja anatosha kumstarehesha mwanaume mmoja au kulingana na imani ya MTU...siyo MTU umeoa ndiyo basi huko nje.... uwe na wanawake zaidi ya watano au kumi kwa sababu ni starehe hapana...miliki mwanamke kulingana na maamrisho ya mungu kwa kuoa tu na si...vinginevyo au kama mfalme Muswati utakuwa ni udhalilishaji wa wanawake.

Ukimiliki mwanamke lazima umtimizie haki zake zote na yeye akustareheshe kama inavyotakiwa.....hata katika dini inayoruhusu wake 4 lazima uwe na uwezo wa kuwatimizia mahitaji yao wote kwa usawa siyo unakimbilia kuoa wanawake wengi uwezo wa kuwapa haki zao huna.
 
Dah...Kuna sehemu nilisoma kwa waislam....kunyonyesha mtoto siyo jukumu la lazima kwa mama mzazi....na akimnyonyesha mtoto huyo basi ana haki ya kudai malipo kutoka kwa baba mzazi

Sent using Beretta ARX 160
Uislamu umempa hadhi mwanamke....tofauti na imani zingine zinavyofikiria...hata kazi za nyumbani inatakiwa umuwekee msaidizi kazi YAKE yeye akupe tunda tu....ajipambe,ukirudi toka kazini akupokee vizuri,akupe maneno mazuri ya kukuliwaza na akuzalie watoto.

Hata waislamu wenyewe hayo maamrisho wengi hawayafati,dini ya uislamu inamtambua mwanamke kama pambo LA ndani ya nyumba yako we we mume,hata haya maswala ya kuemea anatakiwa aende mwanaume....lakini wanaruhusiwa kushiriki mambo mbali mbali ya kijamii.
 
Nami nimegundua..waleee!...hakuna dini inayowadharau wanawake km waislam sijui kwann!
Uislamu umewanyanyua sana wanawake miaka mingi sana iliyopita...huko bara Arab wazazi walikuwa wakizaa watoto wakike wanawazika wakiwa hai wakidai hawana faida katika jamii...uislamu ndiyo ulikuja kupigania na kukomesha unyanyasaji huo.

Wanawake walikuwa wakibaguliwa na wakitengwa katika jamii wanapokuwa katika siku zao(hedhi) walikuwa hawaruhusiwa kujumuika katika makundi ya watu mfano. Sokoni kwenye sherehe mbalimbali.

Uislamu umempa mwanamke hali ya kudai haki yake kwa mume kama mume anamtendea yasiyo mema hadi ikashuka aya katika qur an ya kumtetea mwanamke aliyetendewa ubaya na mumewe.

Uislamu umpa hadhi mwanamke kwa kumshushia sura katika kitabu cha qur an...surat nisai...sura ya wanawake inaelezea habari za wanawake na haki zao tu...hakuna sura ya wanaume ktk Qur an.

Hiyo ni dhana isiyo na ukweli.
 
Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.

Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.

Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.

Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.

Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?

Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.

Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mwanamke ni chombo cha kutustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu usione watu wamekulike ukadhani wanakusapoti ni kwasababu mambo wayanayo kitana nayo kwenye uhusiano ni sio sawa na kwenye ndoto
 
Sahihi kabisa.

Nilipata kujifunza mwanachuoni mmoja wa suudia akisema ya kuwa kuna khilaaff baina ya ahlul ilmu juu ya kuwa mwanamke ni wajibu kumhudumia mumewe kwa kazi za nyumbani ama sio wajibu nikaona hakuna kauli inayosema kuwa ni laIma apike,afue akoshe vyombo n.k

Haya yanadhihirisha kuwa mwanamke shughuli. Yake kubwa ni kumstarehesha mumewe,kujipamba kwa ajili ya mumewe n.k

Haya yapo wazi ila tatizo watu wameshapandikizwa chuki juu ya hii kauli mpaka imefika hatua ukisema hivyo watu wanaona ya kuwa unadhalilisha
Uislamu umempa hadhi mwanamke....tofauti na imani zingine zinavyofikiria...hata kazi za nyumbani inatakiwa umuwekee msaidizi kazi YAKE yeye akupe tunda tu....ajipambe,ukirudi toka kazini akupokee vizuri,akupe maneno mazuri ya kukuliwaza na akuzalie watoto.

Hata waislamu wenyewe hayo maamrisho wengi hawayafati,dini ya uislamu inamtambua mwanamke kama pambo LA ndani ya nyumba yako we we mume,hata haya maswala ya kuemea anatakiwa aende mwanaume....lakini wanaruhusiwa kushiriki mambo mbali mbali ya kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa.

Nilipata kujifunza mwanachuoni mmoja wa suudia akisema ya kuwa kuna khilaaff baina ya ahlul ilmu juu ya kuwa mwanamke ni wajibu kumhudumia mumewe kwa kazi za nyumbani ama sio wajibu nikaona hakuna kauli inayosema kuwa ni laIma apike,afue akoshe vyombo n.k

Haya yanadhihirisha kuwa mwanamke shughuli. Yake kubwa ni kumstarehesha mumewe,kujipamba kwa ajili ya mumewe n.k

Haya yapo wazi ila tatizo watu wameshapandikizwa chuki juu ya hii kauli mpaka imefika hatua ukisema hivyo watu wanaona ya kuwa unadhalilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitumia neno chombo wanaona unawadhalilisha!!!....labda utumie 'mwanamke ni pambo LA kumstarehesha mumewe' hata hivyo bado utaonekana ni mdhalilishaji wanawake pia....ukweli ndiyo huo.
 
Naona sasa watumiaji wa vyombo mumekutana nadhani hakuna kinacho haribika kila kitu kinakwenda sawasawa.
 
Ukitumia neno chombo wanaona unawadhalilisha!!!....labda utumie 'mwanamke ni pambo LA kumstarehesha mumewe' hata hivyo bado utaonekana ni mdhalilishaji wanawake pia....ukweli ndiyo huo.
Wanaona tunawadhalilisha kwa sababu kuna ambao walitumia hivyo kwa udhalilishaji.

Lakini hili jambo lipo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sasa watumiaji wa vyombo mumekutana nadhani hakuna kinacho haribika kila kitu kinakwenda sawasawa.
Tafsiri hapo ndiyo tatizo....Mwanamke ni MTU aliyeumbwa kwa lengo maalumu LA kumstarehesha mwanaume.
 
Back
Top Bottom