Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Ndio maana mkaamua kumaliza kabisa kwa kumuita chombo
Chombo ni sifa.

Nilikuuliza mtu akisema nimepata jiko kwa kukusudia mke je ina maana mke ni jiko kweli ama ni sifa tu ?

Mtu akisema "nimepata chombo cha ukweliii " au akasema nimepata kifaa cha nguvu hapo mwanamke ni kifaa kweli na ni chombo kweli au ni sifa tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio jiko kweli ni sifa tu.

Lakini kama unasema kauli ya "chombo cha starehe" na kauli ya "kifaa cha ukweli" au " jiko la ukweli" ni sawa,utakuwa haupo sahihi.

Kwa mfano mtu akisema nimepata "chombo cha usafiri" akikusudia gari,hii inamaana ya kuwa chombo alichonacho kinatumika kusafiria.
Na akisema nimepata "chombo cha ukweli" au "kifaa cha ukweli" hapa ndio anakuwa amekisifia chombo chake kiwa ni cha ukweli yaani kizuri.

Sasa ni ajabu mtu akwambie nimepata "chombo cha usafiri" halafu akwambie amekusudia kulisifia gari lake wakati sentesi yenyewe inajieleza(na hiki ndicho ulich kifanya wewe).

Hivi mtu akwambie nimepata "chombo cha starehe" akikusudia mke wewe utakuwa umemuelewaje?

Huwenda ulikusudia jambo zuri lakini jinsi ulivyo lisasilosha kwa kutumia kauli hii ikawa ni ngumu kueleweka.
 
Kwa nini iwe ngumu kueleweka na mtu keshabainisha alichokusudia mkuu.

Neno chombo hapo ni sifa nimeitumia kumtukuza mwanamke kama ambavyo mwanamke anasifiwa kwa kuitwa jiko au chuma cha ukweli.

Kwa hyo hiyo Moja ni kuwa neno chombo hapo ni sifa kama nilivyotangulia kusema.

Neno starehe linafahamika ni kujiburudisha na kuupatia moyo na akili furaha na amani.

Sasa nikisema mwanamke ni chombo cha starehe alafu ukaunganisha makusudio yangu kitu gani huelewi.

Na wote tunakubaliana neno chombo kwa mwanamke ni sifa nzuri tunaitumia kimnyanyua hadhi yake.?

Kwa nini neno chombo nimeitumia hapa uone kuwa siyo sifa nzuri na chombo ingine ama jiko iwe sifa nzuri ?

Sawa mkuu
 
MTOA POST UMENENA VYEMA,,,hao wanao KUPONDA WACHA WAKUPONDE...mwanamke ni kweli CHOMBO CHA STAREHE KWA MWANAMME,,, na wao wenyewe wanalijuwa hilo na ndy maana SILAHA YAKE KUBWA kwa mumewe au kwa bwana wake ni KUMNYIMA UNYUMBA,,,,ambao ndy ASALI NA TAMU YA MWANAMME. , wangapi tulishasikia mwanamke akisema kumwambiya mumewe LEO HAKULIKI WALA HAKULALIKI....akimaanisha Leo hupati starehe wala TAMU YAKO kutoka kwangu,,so kama hakuliki kwamba HAKUPIKWI,,,au MAGODORO YANAWEKWA MAJI hapana,,,ni wangapi wakinyimwa ile tamu na wake zao hata usingizi hawapati?wangali wakinyimwa UNYUMBA NA WAKE ZAO KSHO YAKE HATA KAZI ZINAWASHINDA?msimpinge mtoa HOJA WAKATI UKWELI MNAUJUWA...mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanamme... ndy maana wanajiremba,,,wanafanya vingi vya urembo ili mradi TU waonekane wakupendeza na kuvutia mwanamme wakati wa KUMPA STAREHE....NAUNGA MKONO HOJA...ukweli mchungu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu Mkuu hii ksuli wanaouna ya udhalilishaji wakati ni kauli ya kumtukuza na kumpa chro kikubwa mwanamke.

Hakuna starehe kubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani.

Starehe zotee zinazidiwa na starehe ya mwanamke,mwanamke ndio tunda la starehe la juu kuliko yote.
MTOA POST UMENENA VYEMA,,,hao wanao KUPONDA WACHA WAKUPONDE...mwanamke ni kweli CHOMBO CHA STAREHE KWA MWANAMME,,, na wao wenyewe wanalijuwa hilo na ndy maana SILAHA YAKE KUBWA kwa mumewe au kwa bwana wake ni KUMNYIMA UNYUMBA,,,,ambao ndy ASALI NA TAMU YA MWANAMME. , wangapi tulishasikia mwanamke akisema kumwambiya mumewe LEO HAKULIKI WALA HAKULALIKI....akimaanisha Leo hupati starehe wala TAMU YAKO kutoka kwangu,,so kama hakuliki kwamba HAKUPIKWI,,,au MAGODORO YANAWEKWA MAJI hapana,,,ni wangapi wakinyimwa ile tamu na wake zao hata usingizi hawapati?wangali wakinyimwa UNYUMBA NA WAKE ZAO KSHO YAKE HATA KAZI ZINAWASHINDA?msimpinge mtoa HOJA WAKATI UKWELI MNAUJUWA...mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanamme... ndy maana wanajiremba,,,wanafanya vingi vya urembo ili mradi TU waonekane wakupendeza na kuvutia mwanamme wakati wa KUMPA STAREHE....NAUNGA MKONO HOJA...ukweli mchungu....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukweli ila kwa saivi sio sana. Zamani wazee wetu ilikuwa mtu akioa tu mama anaachishwa kazi fasta atulie hom kulea familia. Saivi ubepari umebadilisha yote haya wote tunapigika bila kujali wewe ni mwanaume na mwanamke wote tunamenyeka tu.

Wote tunaamka asubuhi kwenda kuhanja. Na nina hakika kuna wanawake wanapiga kazi au wana maingizo mara elfu ya wengi wa wababa. Saivi wanachagua hadi wanaume wa kuwafurahisha wanaitwa marioo. Je bado wanawake ni chombo cha starehe au wote tunafurahishana?

Bado mwanamke anabakia katika nafasi hiyo ya kuwa yeye ni chombo cha starehe.

Kuwepo kwa baadhi yao wanaojaribu kubadilisha mambo hakufanyi asili iondoke

Leo tunajua kuwa kuna mashirika na vituo vya kulea watoto,ila hakubadilishi uhalisia wa kuwa mama ndo mwenye jukumu la kulea.

Kwa hyo mwanamke hiyo ni nafasi yake kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom