safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,314
- 18,146
- Thread starter
- #221
Wewe umeelewa.Kasema wanawake, unafikri yeye hajui kama mama yake ni mwanamke.
Msipende weakness za Hovyo.
Wanawake wote ni chombo cha starehe,
Mama yako ni chombo cha starehe cha baba yako, Dada yako ni chombo cha starehe kwa njemba zingine.
Tunapokezana vijiti.
"WANAWAKE NI CHOMBO KIKUU CHA STAREHE"
Atarehe yetu kubwa hapa duniani ni wanawake,hakuna starehe tamu zaidi ya hiyo.
Na ndio maana hiyo starehe ikawa ndo njia ya kupata watoto,laiti watoto wangekuwa wanapatikana kwa kulima na kufanya mazoezi basi leo dunia pengine isingekuwa na mtu kwa sababu mambo hayo sio starehe ni tabu tupu,na binadamu hawapendi tabu kwa hyo watoto wangepungua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
