Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,164
15,848
Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.

Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.

Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.

Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.

Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?

Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.

Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mwanamke ni chombo cha kutustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma thread yako so najibu headline tu....

Na starehe siku zote ni gharama so muwe mnahonga kweli kweli, na mhonge kiroho safi.
Ndio maana wqtu wanahonga na wanatoa mailioni ya mahari kwa sababu wanatambua thamani ya mwanamke.

Hakuna Nchi ambayo hakuna biashara haramu ya Ngono tokea zamani.

Hiyo kuonesha ya kuwa mwanamke ni chombo cha starehe tukiacha majukumu mengine yake.

Ingawa wanawake wengine wanatumia mwanya huo kinyume na ustaarabu husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too harsh !!.. sidhani kama kuna ukweli kwenye ulichoandika.

Kama yeye (mwanamke) ni chombo cha starehe kwa ajili yako, kwani wewe huwezi kuwa chombo cha starehe kwa ajili yake?
Kama yeye angekuwa chombo cha starehe kwa ajili yangu basi ndo ingebidi alipe mahari yeye.

Tunapotoa kitu kupata kitu maana yake unakihitajia mno.

Mwanaume anaweza kubaka hata kuku akiwa na nyege ila mwanamke ni ngumu kujibakisha kwa kuku.hii kuonesha mwanaume matamanio yake yako karibukaribu ya ovyo kuliko mwanamke.

Hivyo tunatoa mahari kwa sababu sisi ndo tunawahitajia sana wao kukidhi haja na starehe zetu kuliko wao wanavyotuhitajia sisi.

Ukitoa pesa kununua gari maana yake wewe ndo unashida zaidi na gari kuliko gari ilivyokuwa na shida na wewe.

Na kutoa sisi mahari kuwapa wanawake maana yake sisi tunawahitajia zaidi kuliko wao wqnavyotuhitajia sisi.

Sio kejeli ndo ukweli huo.ndio maana kuna wanawake wengi wanajiuza kwa ajili ya wanaume na ni ngumu kukuta wanaume wanajiuza kwa ajili ya wanawake.

Yaani wewe ungekuwa ndo umenioa mimi alafu unitolee shobo za namna hii alafu bahati mbaya uwe HOHEHAHE!..ungehama mji!
 
Kama yeye angekuwa chombo cha starehe kwa ajili yangu basi ndo ingebidi alipe mahari yeye.

Tunapotoa kitu kupata kitu maana yake unakihitajia mno.

Mwanaume anaweza kubaka hata kuku akiwa na nyege ila mwanamke ni ngumu kujibakisha kwa kuku.hii kuonesha mwanaume matamanio yake yako karibukaribu ya ovyo kuliko mwanamke.

Hivyo tunatoa mahari kwa sababu sisi ndo tunawahitajia sana wao kukidhi haja na starehe zetu kuliko wao wanavyotuhitajia sisi.

Ukitoa pesa kununua gari maana yake wewe ndo unashida zaidi na gari kuliko gari ilivyokuwa na shida na wewe.

Na kutoa sisi mahari kuwapa wanawake maana yake sisi tunawahitajia zaidi kuliko wao wqnavyotuhitajia sisi.

Sio kejeli ndo ukweli huo.ndio maana kuna wanawake wengi wanajiuza kwa ajili ya wanaume na ni ngumu kukuta wanaume wanajiuza kwa ajili ya wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu zile jamii ambazo mwanamke ndie anaelipa mahari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom