Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 784
Makubwa!! Unaongelea wanaojiuza au mana hao wenyewe wala hawakupi starehe kama kweli ww ni smart man..mana ni uchafu mtu humuandai unaogopa ata kumla mte anajimiminia mafuta afu we unazama.
Hakuna mwanamke wa kustarehesha mwanaume..mke ni wa kukusaidia maisha kusex ni sehem tuu ktk ndoa au mahusiano.
Binadam hawez kutumika kama chombo.
Hakuna mwanamke wa kustarehesha mwanaume..mke ni wa kukusaidia maisha kusex ni sehem tuu ktk ndoa au mahusiano.
Binadam hawez kutumika kama chombo.